Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Mmm miaka unayotaka niwe ndio hiyohiyo ya kwangu..Miaka
Mmm miaka unayotaka niwe ndio hiyohiyo ya kwangu..Miaka
Sawa nakuja sasa hivi
😂😂😂😂 haya Frag, i hope u have enjoyed the wkend.Mmm miaka unayotaka niwe ndio hiyohiyo ya kwangu..
A bit.. Imeisha haraka sana😂😂😂😂 haya Frag, i hope u have enjoyed the wkend.
Mara nyingi zinaisha haraka, I hope u will enjoy more the coming one.A bit.. Imeisha haraka sana
SenkyuuuMara nyingi zinaisha haraka, I hope u will enjoy more the coming one.
🤣🤣🤣🤣
Kama hutaki na yako chukua ya kwangu🤣🤣🤣🤣
Mtoa mada katukataza tusiwaangalie nyie masharo wa MarekaniKama hutaki na yako chukua ya kwangu
+1296369857 United States of America
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nabadiliMtoa mada katukataza tusiwaangalie nyie masharo wa Marekani
Supermind na mind yako super kwani na wewe unabeba mizigo?
mkuu una miaka mingapi nisamehe kwa swali gumuAsante kwa ushauri ngoja nikupe wangu.
1.maisha hayaishii hapa maisha yanaendelea .
2.kuolewa ni mipango ya Mungu sio mwanamke au mwanaume kupanga .
Usidhani kukubali watu ovyo ili uolewe nao ni sawa.
Unaweza pata mume hana hela kabisa ukazaa naye akakunyanyasa akakukimbia kabisa ukabaki na mipete yako tena kakupa kihasara hasara tu kama kakufungia sikia mwanaume if huna elimu kuoa ni zero.
Hata kijijini wanataka mtu anayejitambua .
Kila jambo hakuna anayependa unaweza basi ukaolewa na maskini hamna kitu ukaamua kujiuza ili watoto wale waende shule.
Napia ili muwe na maisha ya kati.
Msikose hela ya chumba hela ya kula kuvaa na kila kitu.
So becareful maisha sio kukimbilia nako .
Maisha nikuangalia nitaishije sio kukurupuka tu.
Maisha nikujipanga wewe ikishindikana si basi?
Sio kujitesa namna hiyo au kuwatesa watu namna hiyo eti old donkeys wewe sio Muumba wao unaweza kumcheka leo kesho Mungu akamnyanyua tena kwa njia ambayo utabaki kushangaa.
Kuolewa tu kisa umepata sio fresh .
Maisha nikuangalia utakapokuwa unaenda jamani sio unaenda kisa ni atakuwa wa alali eti mtabakia mkijiuza kwa wababa wenye vitambi God epusha hiyo kitu.
Nakana nakukana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzee hauna namba ? Anyway huku kwetu mwanamke ukifa na hukuolewa unazikwa na mgomba inaonekana kama una mkosi maishani .. naskia pia ni raha sana mwanamke kuwambia wenzio umeolewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umefikia ule wakati wa "mwanaume yeyote tu" ni fungulia mbwa sasa.
Wapendwa nakuja.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yoyote atakayekatiza tusije kudoda bure