Jinsi maisha ya wadada yanavyokuwa

Jinsi maisha ya wadada yanavyokuwa

Hapo mwisho wa bandiko lake ameweka C&P akimaanisha alivyoichukua ndo alivyoiweka,ila mkuu humu hatutafuti vyeti mtu aandike anavyojisikia muhimu aeleweke.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Wengine hatuwezi kusoma "mlolongo"..huoni alivyoweka aya uzi umekaa vizuri??lengo si kuelewa tuu pekeake,.
 
Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu ( utupu ) anadhani alizaliwa vizuri zaidi ya wengine.Kuanzia miaka 18 hadi 24 Anataka boyfriend handsome Mwenye pesa, gari, sharobalo na mwenye mavazi ya kila aina au maarufu anawakataa wanaume wengi na kuwabeza anajiona yuko kwenye ubora na anaweza kutembea mpaka na mzungu.Anabadilisha badilisha wanaume NA kuwasaliti wengine, hawana pesa, hadhi ya kuwa naye na haoni aibu kuwatemea mate. Hawezi kutembea na mbeba mizigo ataaibika.Kuanzia miaka 25 hadi 30 Utasikia nataka mwanaume yeyote atakaye nipenda na kunijali, anajiegesha baa anakuwa bar made wa kuchukuliwa na yoyote tu ilimradi atapewa kidogo na kulishwa, kunywa bia anatumika na kuachwa asubuhi.

Bahati mbaya hajajitokeza wa kumuoa kwa sababu rika lake wameshaoa wote Wanajitokeza tu waume wa WATU wanatembea naye tu na kumsaidia matumizi kidogo.Kuanzia miaka 30 hadi 35Utasikia mwanaume ni mwanaume tu ilimradi apatikane.Bahati mbaya hata mlevi hajitokezi Hapo anajikatia tamaa linakuja libaba lenye kitambi linazaa naye linampangishia chumba anaendelea kuishi.Kuanzia miaka 35 hadi 40 hapo anahangaika hata mwanaume anayemtaka kuwa mchepuko hakuna analea watoto kwa shida na kodi ya chumba hamna ndo maisha tayari anasubiri afe.

SWALI LA KUJIULIZA JE HAWA WANAWAKE WOTE AMBAO HAWAJAOLEWA JE HAWAJAWAHI KUTONGOZWA ?JIBU NI HAPANA HUENDA WAMEKUJA WENGI ALIPOKUWA KWENYE WAKATI SAHIHI LAKINI KWA SABABU YA TAMAA ALIPISHANA NA GARI YA MSHAHARANA WEWE MDADA UNAYESOMA HAPA KAMA NAKUONA VILE .

Fanyeni jambo hili wadada "acheni dharau, kujiona wazuri, malaika wa hapa duniani" kama wewe bado hujapata mme anza leo kuomba Mungu atakusaidia mapema zaidi, bado hujachelewa.Usifikirie kujiuza, sawa utapata pesa tena nyingi kwa kutanulia kila jitu linalofika bei yako ya hapo chini lakini mwisho wa siku tarajia haya;Ukimwi, cancer ya shingo ya kizazi, Kuharibu kizazi na usizae tena, Magonjwa ya zinaa hatari na yasiyosikia dawa yanabaki ndani ya mwili wako, maumivu ya tumbo mnajifanya kuita Mchango, kudharaulika kupita maelezo.Mwisho kabisa ni kupata dhambi ya milele.Hii ndiyo weekly vibe!.Kama tabia hizi zote au baadhi unazo, acha mara moja, utapata tabu sana.

C&P.
Aiseeh,hili jiwe gizani hahahahaha ,,, tegemea upinzani,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wengine hata hawajali ktk umri wa 30s, anakuwa na kiburi balaa na kutema mchumba na kudanga na wababa 2 at the same time. Anakuambia kafie mbali, nimepata true love.
 
Ni kweli kikosi cha Simba kilichopo huko Misri hakijulikani kilipo? maana hata hotel walio fikia kuna nguo tu hamna mtu
 
Wamekusikia,ingawa muda ni wakat,kuubadilisha ni ngumu.
 
kudanga kumetamalaki,binti anakuja stuka yupo 35+ na hapa ndo anatafutwaga yoyote yule angalau hata amtutunuku mtoto

Kuna dada mmoja alikuwa rafiki yangu sana yaani akawa kama ni dada wa kuzaliwa naye,, miaka ikaenda mbele kiasi kwamba akaanza kukata tamaa na mie nikamshauri kuwa kwa vile ana kazi yake asijali sana kuolewa bali abebe mimba moja mbili hivi na asitegemee sana kupewa matumizi na baba mtu, kweli alifanya hivyo na leo hii first born ndie anampatia mahitaji yote mama yake pamoja na kwamba mama ni mstaafu lakini anakula pension mbili takatifu...
 
Back
Top Bottom