Jinsi madereva wa Uber wanavyoibia wateja kupitia kuchakachua navigation map.

Jinsi madereva wa Uber wanavyoibia wateja kupitia kuchakachua navigation map.

Nijuachi mimi pesa inahesabu kulingana na gari ilivyopita kuhesabu umbali.lakini umbali kuuchukua toka kwenye navigation ndo uubadili kua umbali wa gari ilivyotembea na hata kama haikupita huko mi naona haiwezekani.na huo mchoro unaouona ni kwamba google inatambua baadhi ya barabara ambazo ndo barabara kuu,hivyo unaweza kua unaelekea kulia lakini mchoro hapo kwenye simu yako ikakuchorea upo kushoto au upo pembezoni mwa barabara kuu inayoonyesha ulipaswa kupita na kumbe google haitambui barabara mnayopita kwa muda huo ndo sababu ya mchoro wa ramani kukaa hivyo kwenye screen yako ya simu
 
Inawezekana kweli. Kuna siku nilienda safari ya elfu 5 kwa elfu 13 pamoja na kwamba kulikua na foleni ila ile bei ilikua kubwa sana. Nikaishia kulalamika tu moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani Dar hakuna price surges kwa huduma za Uber?

Wakati una request uliangalia kuhakikisha kwa wakati huo hakukuwa na surge?

Na walipokutumia risiti baada ya safari kuisha uliangalia breakdown ya gharama?
 
Niliangalia safari ilipoanzia na ilipoishia ni sawa. Hiyo na kunavigate root inawezekana ndo wanaitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Dar hakuna price surges kwa huduma za Uber?

Wakati una request uliangalia kuhakikisha kwa wakati huo hakukuwa na surge?

Na walipokutumia risiti baada ya safari kuisha uliangalia breakdown ya gharama?
Huwa kuna some factors zinazoweza kuongeza gharama mf. traffic jam..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuachi mimi pesa inahesabu kulingana na gari ilivyopita kuhesabu umbali.lakini umbali kuuchukua toka kwenye navigation ndo uubadili kua umbali wa gari ilivyotembea na hata kama haikupita huko mi naona haiwezekani.na huo mchoro unaouona ni kwamba google inatambua baadhi ya barabara ambazo ndo barabara kuu,hivyo unaweza kua unaelekea kulia lakini mchoro hapo kwenye simu yako ikakuchorea upo kushoto au upo pembezoni mwa barabara kuu inayoonyesha ulipaswa kupita na kumbe google haitambui barabara mnayopita kwa muda huo ndo sababu ya mchoro wa ramani kukaa hivyo kwenye screen yako ya simu
Na kama suala ni hilo la Google kutambua barabara na kama hakukuwa na foleni kwa nini gharama kwa route hiyo hiyo moja zitofautiane kwa kiasi kikubwa hivyo?
 
Tayari madalali Wa taxify wako kazini lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama angekuwa ni dalali wa taxify kwa nini aseme kwamba dereva wa Uber alidai kuwa na wao wamefundishwa na madereva wa Taxify? Si ina maana wa kuogopa zaidi ni hao Taxify?

Mimi nionavyo tuchukue hoja ya mwenzetu kama tahadhari tunapotumia usafiri wa aidha Uber au Taxify vinginevyo kuna kuibiwa kweli.
 
Mbona napata ukakasi wa kuelewa me nimetumia mwaka jana ilivyokuja mjini hapo nimerequest mahali nilipo na ninapokwenda then ikanipa gharama yake ikaja uber tumeenda na deree akanipa gharama ile ile so mleta mada inamaana deree ndo anakupa gharama ww hupati kwa sim yako
 
Acha waibe tu
Ujira kiduchu

[emoji252] [emoji479]
 
N
Bado nasita kuamini.

Isije mkawa mnapanda Uber wakati bei zikiwa sina surge...
Ni kweli madereva wa Uber huwaibia wateja ,mimi iliwahi kunitokea na nikamkatalia dereva kwa kumtisha kuwa hiyo route ndio natumia kila siku na hata nilipopanda gari nilichukua muda,ikabidi anywee na nikalipa hela ambayo nalipa mara kwa mars,wengi sasa tumekimbilia Taxify kwani pamoja na changamoto wao kwanza bei zao zipo chini sana na hawana ukora,kama unabisha jaribu hao Uber ndio utajua alichoandika mleta uzi ni kweli
 
Naona ulikuwa casino unapambana VP roulette ilikataa au jackpot haijashuka hhhh
 
Kwa wale tunaopenda kutumia usafiri wa Uber, madereva wamekua wakituibia bila sisi kujua.

Mimi ni mtumiaji mzuri wa uber, bahati nzuri nina jamaa yangu hua ni dereva wa uber, nina muda sijafanya nae routes za hapa mjini Daslam, juzi hapa nikamuita akaje twende mahala.

Katika mazungumzo akaniuliza sijawahi kupewa gharama za ajabu kwa route za kawaida nazozifaham, nimamwambia nishapewa nyingi tu ila hua nalipa.

Akaomba nimuonyeshe kwenye my trips, ndio akanionyesha ujinga unaofanyika na madereva wa uber kuibia wateja.

Iko hivi, madereva wanachokifanya baada ya kuanza safari wanawezesha mfumo wa simu wa kuhifadhi matumizi ya betri(power saving). Huo mfumo kwenye sim ukiwezeshwa kitu cha kwanza unachoanza nacho ni navigation system na vitu vingine.

Kwa kua mfumo wa uber unatumia navigation, hvyo unachanganyikiwa unakua hausomi vizuri barabara mliopitia, ukifika mwisho inakupa bei ya ajabu ila ukiangalia ramani utakuta safari yenu haikua straight, mmezunguka zunguka sana kitu ambacho sio kweli.

Angalia huu mfano.

Hii picha ya kwanza ni safari yangu ya mara kwa mara na iko straight. Picha ya pili ndio magumashi. Angalia na gharama zake.

Huu ndio wizi mpya wa madereva wa uber, wao wanadai wamefundishwa na madereva wa taxify.View attachment 845849
View attachment 845851

Nilipigwa moja kubwa ajabu, nikajiuliza nini kinatokea. Kwa kawaida ningelipa kitu kama 15k hadi 20k, ila ikapiga 60k! Umbali ukaonyesha nimetembea zaidi ya kilomita 50 wakati sehemu yenyewe haizidi kilomita 20! Niliwasiliana na Uber wakanirejeshea 59k.

Mtoa mada umenifumbua macho.
IMG_1960.JPG
 
Back
Top Bottom