Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
- Thread starter
- #81
Ndugu, sijui unaiahi wapi ila ukiita Uber unaielekeza unaelekea wapi, inakuonyesha ramani au barabara mtakayopita, ingawa sio lazima mpite hiyo ramani mnaweza kupitia njia nyingine ila mkafika mnapoenda.Swali la kizushi kwani hii itasoma kote kote? Namanisha kwa dereva na abilia?ikichakachuliwa
Sasa chukulia mmepita njia yoyote, njia inajulikana mfano hapa Dar kutoka gongolamboto hadi posta njia inajulikana na imenyooka, unaita uber mnafika posta kutokea gongolamboto ila ramani inaonyesha mmepitia Temeke, mkarudi Buguruni, mkatembea hadi Magomeni, mkarudi Kariakoo mkatokea Kamata mkapitia kilwa road kisha mkaingia Posta lakini wewe unajua kabisa mlipitia Nyerere road moja kwa moja hadi mkafika hamjapinda mahala popote, je hiyo ramani itakua sahihi au sio sahihi?
Utalipa hela utakayoambiwa au utakataa?