Jinsi madereva wa Uber wanavyoibia wateja kupitia kuchakachua navigation map.

Jinsi madereva wa Uber wanavyoibia wateja kupitia kuchakachua navigation map.

Kama unahisi umeibiwa na driver toa taarifa uber kwa kuwa una kumbukumbu ya kila trip kwenye simu yako. Kuna mmoja alinipitisha route ndefu bila sababu akapita mtaani kwake Magomeni akasimamisha gari kuongea na washkaji zake baada ya hapo akamtukana dereva mwengine aliye paki gari njiani. Nilituma emai Uber kumripoti, dreva wa Uber anatakiwa awe na staha, ajue customer care sasa yule sijui kama ndia alikuwa dereva wa hiyo gari kila siku au aliaachiwa na ndugu yake ama vipi lakini aliharibu sana. Toka Kariakoo kwenda Masaki kazunguka route ndefu mpaka Mikocheni halafu kufika mbele akawa hajui njia ikabidi nimwelekeze
 
Nilipigwa moja kubwa ajabu, nikajiuliza nini kinatokea. Kwa kawaida ningelipa kitu kama 15k hadi 20k, ila ikapiga 60k! Umbali ukaonyesha nimetembea zaidi ya kilomita 50 wakati sehemu yenyewe haizidi kilomita 20! Niliwasiliana na Uber wakanirejeshea 59k.

Mtoa mada umenifumbua macho. View attachment 846308
Mkuu ulitembea hiyo ramani? Kwa akili ya kawaida tu hizo njia ulizopita hazipo. Labda kama mlikua mnapaa.

Ndio ujiulize imekuaje ramani ikasoma hvyo wakati wewe hukutembea hivyo?
 
Nilikua najiuliza ilikuaje ikatokea hivyo...dereva alisema hajui (sasa mtoa mada anatufumbua mambo kwamba wanajua).
Hapo ni kama nilitoka JNIA, kisha ghafla nikapelekwa Kigamboni, kisha Sinza, kisha nikarudishwa JKNA, ndipo nikaendelea kwenda nilikoenda. Dereva alichelewa kunichukua nilipokua kuliko kawaida, labda ndo alikua anafanya alichofanya.....

Mkuu ulitembea hiyo ramani? Kwa akili ya kawaida tu hizo njia ulizopita hazipo. Labda kama mlikua mnapaa.

Ndio ujiulize imekuaje ramani ikasoma hvyo wakati wewe hukutembea hivyo?
 
Kuna siku jamaa aliniletea hizo habari nikamwambia mimi nilivyokuwa nnaita imeniambia 4000 - 5000 kutoka pale kairuki hadi survey nikamwambia nionyeshe hiyo route...nilijikuta nimezunguka hadi sea cliff

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo huu Uzi umevamiwa na madereva wa Uber, wanachofanya wanatutoa kwenye lengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Very true.

Hapa kuna makundi mawili, madereva na wateja, kama ni mtumiaji wa Uber wa mara kwa mara, hili tatizo lazima litakua limekukumba,kwa namna moja au nyingine, ikiwemo mimi, twice.

Ukiwauliza wanakuambia hawajui chochote, kwa lugha nyepesi wanakulazimisha uwasiliane na Uber wenyewe for refunds kitu ambacho wanajua ni watu wachache wako tayari kutake such trouble.

Uhujumi upo kila mahala, siwezi shangaa kua hata kwa hawa ndugu zetu wanafanya hivyo, at the end of the day they all have to bring bread to the table, inspite of all misfortunes.

Maisha yanaendelea.
 
Kweli kabisa mi kuna siku nimeita uber kutoka jet corner kwenda kariakoo ikasoma alfu 19 nilishangaa sana nkamlipa tu yule mzee alikuwa muhaya.Nkasema nkireqwest nkampata sipandi tena gari lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Uber wanafanyaje kwa madereva hawa wanafanya huu mchezo? Yaani baada ya refund, dereva anafanywaje.
 
Kwa wale tunaopenda kutumia usafiri wa Uber, madereva wamekua wakituibia bila sisi kujua.

Mimi ni mtumiaji mzuri wa uber, bahati nzuri nina jamaa yangu hua ni dereva wa uber, nina muda sijafanya nae routes za hapa mjini Daslam, juzi hapa nikamuita akaje twende mahala.

Katika mazungumzo akaniuliza sijawahi kupewa gharama za ajabu kwa route za kawaida nazozifaham, nimamwambia nishapewa nyingi tu ila hua nalipa.

Akaomba nimuonyeshe kwenye my trips, ndio akanionyesha ujinga unaofanyika na madereva wa uber kuibia wateja.

Iko hivi, madereva wanachokifanya baada ya kuanza safari wanawezesha mfumo wa simu wa kuhifadhi matumizi ya betri(power saving). Huo mfumo kwenye sim ukiwezeshwa kitu cha kwanza unachoanza nacho ni navigation system na vitu vingine.

Kwa kua mfumo wa uber unatumia navigation, hvyo unachanganyikiwa unakua hausomi vizuri barabara mliopitia, ukifika mwisho inakupa bei ya ajabu ila ukiangalia ramani utakuta safari yenu haikua straight, mmezunguka zunguka sana kitu ambacho sio kweli.

Angalia huu mfano.

Hii picha ya kwanza ni safari yangu ya mara kwa mara na iko straight. Picha ya pili ndio magumashi. Angalia na gharama zake.

Huu ndio wizi mpya wa madereva wa uber, wao wanadai wamefundishwa na madereva wa taxify.View attachment 845849
View attachment 845851
Hiyo ya pili ladba ni pamoja na gharama za 'mchoro'
 
Back
Top Bottom