Jinsi madereva wa Uber wanavyoibia wateja kupitia kuchakachua navigation map.

Jinsi madereva wa Uber wanavyoibia wateja kupitia kuchakachua navigation map.

Dawa ni kununua kagari kako tu ka engine ndogo kama passo n.k. kuepuka hii kadhia.
 
Sijapata picha kwasababu sijawahi kutumia uber,kwani kuna mfumo wa Ku calculate gharama za kusafiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia hicho kiambatanisho unaweza kupata mawili

IMG_1964.JPG
 
Hapo nimepata mwanga,sasa kwenye kigezo cha time,kwa mfano kukiwa kuna foleni,gharama inakuwa kubwa / ndogo ,na kwenye airport charge sijaelewa hapo

Airports nyingi zinalipisha ukiingia na gari, kwa JNIA unalipa nafikiri 1000! Sasa kama kakuchukua ndani ya airport basi utalipishwa gharama za kuingiza gari airport.
 
Kuna dereva aliwahi kuniibia, ila sikuhizi natoa ile bei elekezi. Pia mleta mada nilijua utatoa solution

Sent using Jamii Forums mobile app
Solution ya haraka hapa kabla hujalipa angalia ramani mliotembea. Wewe umetoka mfano posta unaenda ubungo, barabara imenyooka kabisa, ila ukiangalia ramani inaonyesha mmepita Kamata mkatokea kariakoo mkaenda Bugurui mkatokea Magomeni mkazunguka Tandale mkafika sinza kisha ubungo lazima uwe na mashaka na ukatae kulipa.

Kwa sasa silipi bila kuangalia ramani.
 
Hii mm nlishaambiwa na dereva mwnyw wa uber baada ya kusikia malalamiko kwa mdada mmoja. Wengi wanaopinga hii taarifa ni watu wa uber ambao sio waaminifu
 
kabla ya kuita taxi kuna bei elekezi unapewa kwa tripu yako kwamba ni 4000~5000 na kwenye google map inaelekeza njia ya kupita
Kulipishwa 17000 tutafikishana polisi tu
 
Solution ya haraka hapa kabla hujalipa angalia ramani mliotembea. Wewe umetoka mfano posta unaenda ubungo, barabara imenyooka kabisa, ila ukiangalia ramani inaonyesha mmepita Kamata mkatokea kariakoo mkaenda Bugurui mkatokea Magomeni mkazunguka Tandale mkafika sinza kisha ubungo lazima uwe na mashaka na ukatae kulipa.

Kwa sasa silipi bila kuangalia ramani.
Tatizo wengi walifeli Map Reading ndo mana ...sasa ukimwambia asome ramani ni kama unataka kumrudisha darasani....

Kumbe zamani elimu ilikua na umuhimu sana ndo mana Map Reading ilikua compulsory kujibu swali lake!

Matunda yake ndo haya sasa ya kuibiwa kisa hujui kusoma ramani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabla ya kuita taxi kuna bei elekezi unapewa kwa tripu yako kwamba ni 4000~5000 na kwenye google map inaelekeza njia ya kupita
Kulipishwa 17000 tutafikishana polisi tu
Mfikishane au akufikishe?

Mana hapo unamlipa maximum 5000 then unatambaa ila akitaka akupeleke ww polisi na sio mfikishane mana we huna cha kumfikisha ikiwa ww ndo unachagua umlipe bei gani...

Kuna tofauti ya kupigwa na kupigana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa madereva wa uber huwa nawahurumia sana!
 
Swali la kizushi kwani hii itasoma kote kote? Namanisha kwa dereva na abilia?ikichakachuliwa
 
Back
Top Bottom