Eng. Smasher, mahesabu yakielekea huko watoto wako fit sana, mpaka utashangaa mwenyewe continuity theorem wanaimba , conic sections kama kazi mpaka Riemann IntegralHapo ndo ma ENGINEER 2napo onesha utofauti na NGWINI!!!
Tatizo MATHEMATICS sana imetawala watatuelewa kweli hii mitoto ya siku hizi VILAZA vya hesabu??!!
Umenikumbusha mbali mkuu, watoto walikuwa wanapata taabu sana enzi za uhai wetu na vitu hivyo, Taylor Series Expansion, Gauss Elimination Method............Eng. Smasher, mahesabu yakielekea huko watoto wako fit sana, mpaka utashangaa mwenyewe continuity theorem wanaimba , conic sections kama kazi mpaka Riemann Integral
Remember telecom engineering................. word are just like focal point where by all the electromagnetic waves are being concentrated. Back to art of seduction.................. words are instrumental towards making a woman see other strength that you have.aaah bana word are not everything that a woman looks to a man
Si kwamba walikuwa wanapata taabu sana.......ila walikuwa hawawezi kabisaaaaaaaaaaaUmenikumbusha mbali mkuu, watoto walikuwa wanapata taabu sana enzi za uhai wetu na vitu hivyo, Taylor Series Expansion, Gauss Elimination Method............
Hah hah!
Remember telecom engineering................. word are just like focal point where by all the electromagnetic waves are being concentrated. Back to art of seduction.................. words are instrumental towards making a woman see other strength that you have.
Am proud to be engineer kwa style hii ngoja ni copy hayo maneno nikayapaste kwa msichana mmoja ananisumbua sana.
Umenifurahisha sana, wanachakachua kitu ya msaidizi wa Mungu
Theory ni kutumia udhaifu wa adui yako kummaliza, hah hah!Daah !! unanikumbusha Eng. Magori ( PCM) wa mkwawa alikuwa ni noumar kwa kutongozea Mathematics kwa wasoma BAM.
Theory ni kutumia udhaifu wa adui yako kummaliza, hah hah!
Teh teh teh! haya kazi kwenu maengeneer, sina mbavu. na madaktari je?
Mama Brian Madaktari sijui, ila umenikumbusha mtoto mmoja aliulizwa ambition yake na alijibu hivi:
Teacher: What do you want to become?
Little Johnny: Doctor!!
Teacher: Why?
Little Johnny: Coz it's the only profession where u can tell a woman to take off her clothes and ask her husband to pay for it.
Kwa style hii mwanamke hachomoi,
Kweli engineer ni engineer tu,
Akitaka nyumba itokee kwenye mlima, mlima utaondoka na nyumba itatokea
Akitaka kwenye maji kuwe na barabara, barabara itatokea
Akitaka kwenye joto kuwe na baridi, basi ni full kipupwe
Kweli engineers ni wasaidizi wakubwa wa Mungu hapa duniani
Mama Brian Madaktari sijui, ila umenikumbusha mtoto mmoja aliulizwa ambition yake na alijibu hivi:
Teacher: What do you want to become?
Little Johnny: Doctor!!
Teacher: Why?
Little Johnny: Coz it's the only profession where u can tell a woman to take off her clothes and ask her husband to pay for it.
Kiboko ya Injinia ni mwanasiasa.
Akisema nitawanunulia meli na kuwatengenezea bahari hapa.watu wanamkubali na kumpigia makofi.Halafu anasubiri ujenge barabara kwenye maji na yeye anakuja kuizindua na jina lake likiwekwa hapo,na injinia hata hajulikani kama alichangia kitu...
Mission successiful: engmtolera na mabel ni mtu mmoja. Kwa kuwa thread hii ipo ktk ID mbili tofauti. Mabel na engmtolera ni mmoja mpaka hapo watakapojitenganisha.
Kiboko ya Injinia ni mwanasiasa.
Akisema nitawanunulia meli na kuwatengenezea bahari hapa.watu wanamkubali na kumpigia makofi.Halafu anasubiri ujenge barabara kwenye maji na yeye anakuja kuizindua na jina lake likiwekwa hapo,na injinia hata hajulikani kama alichangia kitu...