CHIEF MP JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,559 Reaction score 680 Oct 8, 2017 #41 Njia pekee ni kuvumilia maumivu adi yatapokwisha. Do not avoid pain. Ukizuia unatengeneza magonjwa ndan kwa ndan yatakayokuja lipuka badae. Hakuna maumivu ya kudumu wala furaha ya kudumu ktk hii dunia.
Njia pekee ni kuvumilia maumivu adi yatapokwisha. Do not avoid pain. Ukizuia unatengeneza magonjwa ndan kwa ndan yatakayokuja lipuka badae. Hakuna maumivu ya kudumu wala furaha ya kudumu ktk hii dunia.