Jinsi kuacha kumuwaza yule umpendaye

Jinsi kuacha kumuwaza yule umpendaye

It is practically impossible to forget your ex-lover for 100%.The best u can do is 99% only if u are married.
 
c) Tambua hakuna mahusiano makubwa kama mahusiano yako mwenyewe.

Point. Kama huna furaha na mahusiano yako binafsi hutakuwa na furaha kwenye mahusiano na mtu mwingine.

Never ever expect someone else to make you happy. Make yourself happy.
 
Naona umenianika huku..Beb usinisahau jamani...njoo tuliendeleze...nakupemda sana...ha ha haaa....
 
Point. Kama huna furaha na mahusiano yako binafsi hutakuwa na furaha kwenye mahusiano na mtu mwingine.

Never ever expect someone else to make you happy. Make yourself happy.
Appreciate brother
 
It is practically impossible to forget your ex-lover for 100%.The best u can do is 99% only if u are married.
Hahahahaha kusahau inaweza ikashindikana ila kutokumuwaza inawezekana
 
Pamoja aisee,,, hivi kwa mfano ukiwa na maex 10 unaweza kuwasahau wote hao hata kama utafanya jitihada kubwa kwenye fikra zako?
Time heal everything, and everything start with your imagination.. Ni maamuzi tu
 
Back
Top Bottom