Jinsi Kesi ya Yesu ilivyovunja Sheria

Hata Mimi hapo siwaelewagi.Yuda mwanafunzi tu wa Yesu kati ya wale thenashara ,wajeda wangekuja wanamtaka Ni Nani angewazuia? Yuda labda kwa kuwa alitanguliza mapenzi ya pesa ndo kulimponza
Jamaa walitaka kumkamata Yesu, jamaa walikua wanamjua Yesu. Uhusika wa bwana Eskarioti naona kama ilikua ni kumbebesha tu lawama. Kama inawezekana Yuda akatiwe rufaa asee!
 
Jamaa walitaka kumkamata Yesu, jamaa walikua wanamjua Yesu. Uhusika wa bwana Eskarioti naona kama ilikua ni kumbebesha tu lawama. Kama inawezekana Yuda akatiwe rufaa asee!
Ni kweli kabisa,halafu pia,mhanga alijua nini Yuda angefanya na hakuchukua hatua yoyote ili asidhurike.Na hapo kuna maneno kwamba Yuda alisaliti ili neno la Mungu litimie,sasa Yuda yeye alikuwa na nguvu gani ya kuzuia neno la Mungu lisitimie? Labda tuje na principle Actus reus non facit reum nisi mens sit rea
.Yuda ana hatia ama hana.
 
riwaya ya yesu huwa inasisimua sana aisee! kwanza hakuna wa kulaumiwa hata waliomuua na kumsaliti mana ulikuwa mpango wa Mungu mwenyewe na yesu. hata majib ya mtuhumiwa yalikuwa yanakera, yanatia hasira na kuhamasisha ghadhabu juu yake. hata leo angeumizwa tu.
 
Hv kwa nn kesi ya YESU haikuhairishwa hata x1? Ktk Kesi ya Uchochezi... Nimejifunza Njaa KUCHUMIA TUMBO kulianza zamani tu... hata PILATO alikuwa MchumiaTumbo...

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaa! Sio utani wengi wetu tungekuwa Peter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Judah Eskariot is not guilty your honor!

There is no substantial evidence for his conviction, for he acted under "force majeure".
 
Ila jamaa alikuwa na majibu ya kukera sana aisee hata kama hakuwa na hatia unaweza ukamhukumu kifo tu
 
Jamaa walitaka kumkamata Yesu, jamaa walikua wanamjua Yesu. Uhusika wa bwana Eskarioti naona kama ilikua ni kumbebesha tu lawama. Kama inawezekana Yuda akatiwe rufaa asee!
 
Ila jamaa alikuwa na majibu ya kukera sana aisee hata kama hakuwa na hatia unaweza ukamhukumu kifo tu
Hebu lete mfano wa majibu aliyokua akiyajibu MKUU
.

Tupo bze na kuijenga nchi had tunakosa muda wa kuipitia BIBLE
 
Ila yohana alikufa Kwa kimbelembele chake, na Kwa vile alimbatiza yesu ,alizani atamsaidia lakini yesu alimtosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…