Mkuu Lissu anatumia advantage ya watu kama hawa ambao hawajawahi kuiona hata katiba inafananaje.
Lissu ni wa kawaida sana, kwa wale tunaoshinda mahakamani tunajua, Nchi hii kuna vichwa vingi tu Sema kinachompa kiki jamaa ni kwa vile ni mwanasiasa hivo kila anachofanya kinakuwa kwenye media, akiweka P.O watu wanajua, akishinda P.O watu wanajua, lkn kuna vichwa vipo na vinapiga hela kimya kimya!
Back on our Constitution, ni kwamba Lissu anawaeleza wanaukuta kuhusu haki zinazoelezwa on the bill of rights under part3, lkn hawawaelezi kuhusu limitations on the given rights ambazo the same constitution imeweka.
Kwa ufupi katiba hii inakupa haki upande mmoja na inakunyanganya kupitia upande wa pili.kwa mfano haki xote zilizoolozeshwa zinaweza kunyanganywa kwa sababu ya maslahi ya umma, ukifatilia vzr katiba hii haijadefine nini maana ya maslahi ya umma, yaani ni vitu vp vinakuwa counted as amounting into public interest.Hata mahakama hadi Leo hazijaweza kutoa msimamo wa nini hasa ni maslahi ya umma.
Kwa maana hiyo Rais anaweza kutumia kipengere hicho kuamua anavoona yeye na akasema ni kwa maslahi ya umma, mfano aliposema huu ni mda wa kutekelexa ahadi, anaweza akaidefine hiyo kama maslahi ya umma.
Lissu analijua hilo, na ukweli Rais anatumia katiba, hivyo kupambana na Rais badala ya kupambana na katiba inayompa na kutoa loopholes hizo wao wanapambana na matokeo yake! Wengi tulitegemea wangeenda mahakamani ili wapate nini msimamo wa mahakama, then tuone kama Rais ataenda kinyume na maamuz ya mahakama.
Katiba imetoa room ya mtu anayedhani haki hizo under part3 zimekiukwa aende mahakaman, cha ajabu nguli huyu wa sheria badala ya kuwaongoza wenzake kwenda mahakamani anahamisisha watu waandane.
Ikumbukwe utawala wa sheria si kwa upande wa serikali tu, hata ss raia inatuhusu.
Kwanini wasiende mahakamani kama katiba inavoelekeza badala yake wanaamua kuandaa maandamano, hapa ndipo unapoiona illmotives!
Ikumbukwe sheria ya vyama vya siasa haiwezi kuwa juu ya katiba, kama katiba imeweka limitations on the enjoyment of the provided rights under part 3, sheria nyingine haiwezi kutoa free enjoyment of the same rights!
Anyway haya mambo ni magumu ndo maana wengi wataishia kukutukana tu, na kutoa comment zisizo kuwa na vichwa wala miguu!
Nimeshakueleza tayari. Kwamba hapa tunaongelea katiba.Acha kujidharirisha... Gusa sheria ya vyama vya siasa 4 na 5 alafu utuambie niwapi rais aamepewa mamlaka ya kukataza vyama vya siasa kufanya mikutano? Ilo ndo jambo la msingi
zaidi umezidi kuonesha wazi haki zinavyokandamizwa...Hapa tunajaribu kuelimisha wananchi kuhusu katiba yao.
sheria ya vyama vya siasa na katiba IPI IPO juu ya kingine? Kwa taarifa yako sheria ya vyama vya siasa ina derive its aotomasy kutoka kwenye katiba, hence the that law is applicable subject to the provisions of the constitution and other laws, and among these provision ni Article 30, na ikitokea sheria ya kawaida inakinzana na katiba badi katiba inasimama.Acha kujidharirisha... Gusa sheria ya vyama vya siasa 4 na 5 alafu utuambie niwapi rais aamepewa mamlaka ya kukataza vyama vya siasa kufanya mikutano? Ilo ndo jambo la msingi
Mkuu Lissu anatumia advantage ya watu kama hawa ambao hawajawahi kuiona hata katiba inafananaje.
Lissu ni wa kawaida sana, kwa wale tunaoshinda mahakamani tunajua, Nchi hii kuna vichwa vingi tu Sema kinachompa kiki jamaa ni kwa vile ni mwanasiasa hivo kila anachofanya kinakuwa kwenye media, akiweka P.O watu wanajua, akishinda P.O watu wanajua, lkn kuna vichwa vipo na vinapiga hela kimya kimya!
Back on our Constitution, ni kwamba Lissu anawaeleza wanaukuta kuhusu haki zinazoelezwa on the bill of rights under part3, lkn hawawaelezi kuhusu limitations on the given rights ambazo the same constitution imeweka.
Kwa ufupi katiba hii inakupa haki upande mmoja na inakunyanganya kupitia upande wa pili.kwa mfano haki xote zilizoolozeshwa zinaweza kunyanganywa kwa sababu ya maslahi ya umma, ukifatilia vzr katiba hii haijadefine nini maana ya maslahi ya umma, yaani ni vitu vp vinakuwa counted as amounting into public interest. Hata mahakama hadi Leo hazijaweza kutoa msimamo wa nini hasa ni maslahi ya umma.
Kwa maana hiyo Rais anaweza kutumia kipengere hicho kuamua anavoona yeye na akasema ni kwa maslahi ya umma, mfano aliposema huu ni mda wa kutekelexa ahadi, anaweza akaidefine hiyo kama maslahi ya umma.
Lissu analijua hilo, na ukweli Rais anatumia katiba, hivyo kupambana na Rais badala ya kupambana na katiba inayompa na kutoa loopholes hizo wao wanapambana na matokeo yake! Wengi tulitegemea wangeenda mahakamani ili wapate nini msimamo wa mahakama, then tuone kama Rais ataenda kinyume na maamuz ya mahakama.
Katiba imetoa room ya mtu anayedhani haki hizo under part3 zimekiukwa aende mahakaman, cha ajabu nguli huyu wa sheria badala ya kuwaongoza wenzake kwenda mahakamani anahamisisha watu waandane.
Ikumbukwe utawala wa sheria si kwa upande wa serikali tu, hata ss raia inatuhusu.
Kwanini wasiende mahakamani kama katiba inavoelekeza badala yake wanaamua kuandaa maandamano, hapa ndipo unapoiona illmotives!
Ikumbukwe sheria ya vyama vya siasa haiwezi kuwa juu ya katiba, kama katiba imeweka limitations on the enjoyment of the provided rights under part 3, sheria nyingine haiwezi kutoa free enjoyment of the same rights!
Anyway haya mambo ni magumu ndo maana wengi wataishia kukutukana tu, na kutoa comment zisizo kuwa na vichwa wala miguu!
Katiba imeweka wazi kama Rais anaenda kinyume na katiba Mtanzania yeyote anayo haki ya kufungua kesi mahakamani dhidi yake.Serikali pamoja na Rais wameapa kuilinda Katiba.Hivi ukiwapa Haki CDM ya kisheria ya kuandamna na kufanya mikutano wanapoteza nini??Wa kwanza kujishtaki ni Rais na Serikali yake ifuate Sheria na Katiba waliyoaapa kuilinda Mengine ni blahblah.
Mm siyo kichwa lkn atleast bado nimebaki na uwezo wangu wa kufikiri, kuliko ww ambaye imeweka rehani haki yako ya kufikiri na kuwaacha wanaume wenzako wafikiri kwa ajiri yako!Haya na wewe ni kichwa...
Mm siyo kichwa lkn atleast bado nimebaki na uwezo wangu wa kufikiri, kuliko ww ambaye imeweka rehani haki yako ya kufikiri na kuwaacha wanaume wenzako wafikiri kwa ajiri yako!
Ndugu hapa elewa tunaongelea katiba. Kwenye katiba hakuna sehemu iliyoongelea haki ya vyama vya siasa. Isipokuwa haki hizo zipo kwenye katiba kwa ujumla kwenye ibara ya 18 hii hapaVipengele vyote alivyo viainisha hapo havitoi mwanya kwa Rais wala taasisi nyingine kuzuia shughuli za vyama vya siasa kama zilivyoainishwa ktk katiba.
Wewe acha kuongea vitu hewani. Mimi nimeweka vifungu hapo. Hebu weka hivyo vifungu unavyodai kinyume na hicho cha 30.Wapi ktk katiba mamlaka hizo zimepata uwezo wa kuzuia shughuli za vyama vya siasa?
Ni mpaka itokee hali ya dharula ambayo ni vita,mlipuko wa magonjwa ya kuambukiza kwa wakati mmoja na nk.Tena kwa idhini ya bunge ndipo rais wa jamuhuri ataweza kuzuia shughuli za kisiasa na ni kila baada ya miezi 3 ataomba Tena kibali cha bunge .Nakama bunge likiona hamna haja. Basi haruhusiwi kutangaza hali ya hatari.
Kwahiyo hivyo vipengele ulivyotoa havioneshi wapi mamlaka hizo zinapewa uwezo wa kuzuia shughuli za vyama vya siasa.