Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

Me Tigo nshatupa line yao kabisa... Voda nao ni wale wale wameweka ngumu kuongea na watoa huduma, mpaka ulipie... Labda mimi cjui nini maana ya custamer care, make ukiwa na tatizo nashangaa naambiwa kulipia kuongea nao... Nway haya ndo maisha bora kwa kila mtz...
 
umeongea point mdau japo ulimtumikia kafiri kwa miaka 10. kuna huu mtindo walioleta wa vifurushi, nina uhakika TCRA wanahusika kwa 100% wamefanikiwa kuwaunganisha pamoja ili watuibie vzr, umewah kupiga cm bila kuunga kifurush ukaona wanavyotafuna? nina waswas na mambo ya kodi yanavyoenda yatatuua. yaan unalazimishwa kununua nyanya debe moja badala ya fungu moja alafu mbaya zaidi unapewa muda wa 24hours kuzitumia vinginevyo unanyang'anywa na aliyekuuzia! hatari
 
Kwa wale wenzangu wa voda, ukijiunga na baadhi huduma huwezi kujitoa hata ufanyeje... Kuna rafiki yangu aliamua kutupa line na kuchukua nyingine tu ili kukimbia huwo wizi wao... Nway, maisha bora kwa kila mtz.
 
sasa kumbukeni CCM imetunyonya kwa miaka 50.. lakini wapo watu wanaishabikia.. kama tunakataa wizi huu wa mitandao tukumbuke pia kukutaa wizi wa CCM hapo mwakani 2015
 
sasa kumbukeni CCM imetunyonya kwa miaka 50.. lakini wapo watu wanaishabikia.. kama tunakataa wizi huu wa mitandao tukumbuke pia kukutaa wizi wa CCM hapo mwakani 2015

Huyu ccm, mwaka huu atalibeba, kila kona ccm.
 
Mleta uzi hebu uambie kuhusu Zantel? Uliwahi kufanya kazi hapo mimi ni mteja lakini sijawahi kukumbana na matatizo yoyote na sitaki kusikia habar za voda wa Tigo nimewaacha kitambo sana
 
Wateja wanapojiunga kwenye vifurushi mbalimabli huletewa taarifa immediately via SMS kwamba wamefanikiwa kujiunga lakini kifurushi kikiisha ama wateja huchelewa kutumiwa meseji ya taarifa au hawatumiwi kabisa. Hili tatizo huwakumba zaidi wale wateja wanaopenda kubaki na salio kubwa kwenye simu zao. Kwa mfano, mtu unanunua vocha ya Tsh 2000 kisha unanunua kifurushi cha Tsh 500 na kubakiwa na Tsh 1500 kwenye simu. Pindi kifurushi cha 500 kikiisha hutatumiwa ujumbe wowote hadi utapokuwa umekausha 1500 zilizosalia kwenye simu. Huu pia ni wizi wa mchana na unaofanywa kwa makusudi na kampuni za simu hapa nchini. Ninao ushahidi usiokuwa na mashaka katika huu wizi wa makusudi

Dah kumbe ndivyo tunavyoliwa kiulainiiii bila tabu, mie mwenyewe ni muhanga wa hili lakini sijui ni kwanini sikomi...

Huwa naweka salio kisha najiunga na kifurushi kisha nabakiza salio kiasi fulani, cha ajabu dakika za kifurushi zinaliwa na salio pia linaliwa... Aisee next time naweka sh. 500/= najiunga kifurushi choteee!!
Cha ajabu mamlaka husika wana taarifa hizi lakini kwa vile hii nchi ni shamba la bibi hakina wa kufatilia...

Kila mmoja anachumia tumbo lake....
 
Air Wananiibia Hapo Kwenye Kukata Kwa Mtandao Tu..Kwengne Hawanigusi Ng'o
Nanunua Vocha Ya Kfurush Nitakacho
Hakuna Salio Linalobak Ktk Ac Yng
Voda Na Tgo Hawa Nimewakimbia!!
 
Huu wizi hautakoma bila kuingia mahakamani....kama unaushahidi wa kutosha namna ulivyoibiwa bora kwenda mahakamani uweke mfano
 
Ahsante Mkuu kwa kutupa taarifa. Kumbe nilikuwa sahihi kutojiunga kwenye promosheni zao. Ila Mkuu umelea tatizo muda mrefu. Ungetutonya mapema. Miaka kumi mingi sana watanzania tumeumizwa.

mkuu, ushahidi huu sijakaa nao muda mrefu kihivyo...nimeondoka huko mitandaoni mwaka 1 uliopita. hizi kampuni ni wezi wa kutupwa na wanafanya haya kwa sababu ya udhaifu wa nchi yetu. tunazo mamlaka kama TCRA lakini haziwezi kutusaidia walaji tusinyonywe na hawa mafisadi.
 
Last edited by a moderator:
mi nina vocha mbili za airtel nimenunua feki nikiingiza wananiambia hizo number hazipo hu c wizi jaman au kuna makampuni tofauti yanayotengeneza vocha za airtel?
 
Niko njiani ngoja nitafanya screen shot ya kilichotokea jana. tpaul i promise kuweka ushahidi wa picha ngoja nitulie maana imenibidi nizime simu moja yenye hio issue ili wasiendelee kunikata pesa
 
Last edited by a moderator:
Miaka kumi mkuu tuseme hongera kwamba wewe hukuhusika kwa namna yoyote katika hayo na sasa unatafuta suluhu na Mola wako au umepata mtaji wa kujiajiri mwenyewe.

Nakutania tu ukweli unaujua wewe na Mola wako
 
Back
Top Bottom