Jinsi hofu inavyoambukiza Corona

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Habari za wakatii huu wakuu?
Mi ndugu yenu mzima wa afya kabisa japokuwa tumafua tunanisumbua kidogo.

Lengo la uzi wangu ni kutoa ushuhuda jinsi hofu inavyoambukiza watu corona.

Ilikuwa mwaka 2015 nikiwa chuo nwaka wa pili. Katika pilikapilika zangu za mahusiano nolijikuta nimeingia kwenye dimbwi la kina kirefu la mapenzi na binti wa kiyao.

Nakumbuka ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kupendwa na binti. Yule binti tulizoeana nae sana.

Kufupisha stori, kuna siku nilifanya tulipadilishana nae mate bhana..aisee ndo ilikuwa Mara yangu ya kwanza kufanya vile.

Baada ya muda nikaanza kuhusi kama koo linauma..si akili ya kugoogle ikaniijia. Nikagoogle dalili za UKIMWI....

Aisee asikwambie mtu...nilikonda ghafla...kila dalili niliyoisoma ilianza nitokea siku hadi siku.

Nikaenda hospital kuelezea madakitari, madakitari wakawa wananiandikia vipimo vingime kabisa...kila kipimo kikawa kinasoma negative.

Nakwambia nilikuwa naumwa ila kila ugonjwa wakipima hakuna matokeo negative.

Kuna Dr.mmoja pale Regency, nilipomuelezea historia yangu alicheka sana. Ajanambia we kunywa maji ya kutosha. Rudi nyumbani....

Nakuambia kuanzia siku hiyo mpaka leo sijaona dalili yyte ile.

Na nilipima karibia mara 6 yote ni negative.

Nina experience na hofu. Hofu ni mbaya kuliko ugonjwa wa virusi au bakitria.

Tiba prkee ya hofu ni maneno matamu ya faraja.

Asante sans JPM kwa kututia moyo. Nimekuelewa na nitaendelea kukuelewa kiongozi wangu.

NB: NIKIFA KWA CORONA UJUE SIKU ZANGU ZIMEFIKA! KWA HAKIKA NITAKUFA HATA KAMA NI MIAKA 40 ijayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania Wengi wamejazwa hofu za mitandaoni

Lkn corona ni ugonjwa wa kawaida tu
 
Hata DJ Hana hofu anazurura zurura tu hata hii kugoma bungeni Ni janja yake apate mda wa kukaa na Joyce mukya
 
Daaaa nasikitika sana sijui hata niseme nini..

Sio kila binadamu yupi kama wew..
Swala muhimu ni.. kila jambo lifanywe bila kupindisha pindisha, habar za corona zitolewe zote..

Kama wew ukipata hofu unataka kujiuwa hayo ni yako,
wapo ambao hofu ikiwa kubwa wanaongeza juhudi na njia za kujikinga.
 
Chato ndio kuna ikulu! wewe ni mbiga hujui chochote kuhusu maswala ya nchi
Sawa mkuu ikulu hii hapa nimependa sana background yake.
Screenshot_20200503-122341.png
 
Watanzania Wengi wamejazwa hofu za mitandaoni

Lkn corona ni ugonjwa wa kawaida tu
Huyu aliyeshindwa kwenda kumzika hata waziri wake ndo hana hofu ee? Actions speak thousands of words zani haya maneno matupu
 
Back
Top Bottom