Jinsi Gwajima alivyochangia anguko la Lowassa

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Posts
7,038
Reaction score
9,353
Wazungu wanasema show me your friends and I wil tell you who you are:

Ndugu Gwajima ni kiongozi, kwa maana katika mambo ya dini, ana wafuasi wengi tu lakini wale ambao siyo wafuasi wake ni wengi zaidi.

Gwajima takribani mwaka mmoja nyuma, alikuwa na Skendo iliyovuma mtaani kwamba Anatembea na mke wa Muumini katika kanisa lake aitwaye Mbasha
Mwanamke yule anaitwa Flora, ni Muimba Kwaya.

Kabla hatujakaa sawa Bwana Gwajima akasikika akimtukana Kiongozi Mkuu wa Wakatoliki hapa nchini yaani Kadinali Pengo.

Lakini pia katika press Conference yake ya Kujibu tuhuma za Dr Slaa alisikika akitoa kauli kali sana hadi mambo ya ndani kabisa ya Familia ya Dr Slaa, Ukiachilia mbali na hilo Msaidizi wake Alipopewa muda wa Kuzungumza akasikika akitoa kauli ya Kijembe kwa Dr Slaa kuwa Kwa kuwa Slaa ni Padri ambaye kwa imani ya dhehebu lake haruhusiwi kuoa, basi kukaa kwake na mke kunamfanya asiwe na Experience ya kuhandle mwanamke.

JINSI MAMBO HAYA YALIVYOMUATHIRI LOWASA

1) Skendo ya Mbasha iliwakera sana watu wengi na hivyo Mwanasiasa yeyote Kujihusisha na mtu wa aina hii kunapelekea na yeye kutokuchukuliwa kuwa ni mtu makini.

2) Kitendo cha Gwajima kumtukana Kadinali tena matusi ya kudhalilisha bila Shaka kiliwakera Wakatoliki wengi sana na hivyo Ndugu Lowasa kujihusisha na Gwajima iliwatisha watu hawa ( Siyo wote ) kuwa what is behind?

3) Kauli na Kuvujisha siri za Mke wa Slaa ziliwaumiza sana Akina mama wengi na watu wenye kufuata ushauri wa kiroho kwa wachungaji, Kitendo hiki pia kilikuwa ni sababu mojawapo kwa nini Wanawake wengi hawakuwa Upande wa Lowasa ambaye aliamua kumfanya Gwajima Chanda na pete

4) Kauli ya Msaidizi wa Gwajima ya Kuwa Dr Slaa hakuwa na experience ya kuhandle mke kwa sababu mapadre wa kikatoliki hawaoi, hii inaumiza hisia za Mapdre hawa, ambao ni wanaume kama wanaume wengine, kushambulia Masculinity yao lazima itawakasirisha, Ndiyo maana muda muafaka ulipofika wa Kuendesha somo lenye kuhusiana na Uchaguzi mkuu huu kwa waumini wao, Hawakuwa na Maneno ya kumnusuru Lowasa.

All in All
Umoja wa Gwajima na Kakobe ( Pentecostes) Ukichanganya na Kauli ya Lowasa ya " Nyerere alikuwa mkatoliki, Mkapa alikuwa Mkatoliki, Sasa ni zamu ya Walutheri) bila shaka Ilikuwa na negative consequences kiasi kwamba kuwafanya viongozi wa Kiroho wa Kikatoliki wahisi kuwa kuna Conspiracies against them. Hii iliwaprompt wachukue counter measures.

Miongoni mwa measures walizochukua ni
1) Tamko la Askofu Kilaini juu ya mtu wa sifa za aina gani anafaa kuchaguliwa, Zile sifa Eddo alikuwa anapwaya

2) Elimu kwa waumini wao, hata siku ya Uchaguzi jumapili hiyo, kwenye misa ya siku hiyo nimeambiwa liliendeshwa somo kuhusu uchaguzi na kwa mwenye akili alitambua tu kuwa Eddo is not a choice
 
Gwajimaa, Gwajimaa.... Hamna kazi zingine???? :smash:
 
Gamba la Nyoka

Kuna suala ambalo halisemwi sana na Hilo ni uporaji wa kiwanja cha kanisa Pale Mbezi KKKT
Hiyo laana aliyoipata miaka ya 1995-97 haisemwi na wala haigusiwi na wengi.
Kupokonyana Mali na Mungu ni laana Kubwa, na inamfuata mtu popote aendapo.
 
Last edited by a moderator:
GWAJIMA pia amechangia kwa LOWASA kuumizwa na ndugu zetu waislam wanaojitambua.
Gwajima amekuwa anawadhallisha na kuonyesha CHUKI za hali ya juu na dhamira za kuiangamiza dini hii.
Mambo Makubwa yanayokumbukwa ni
1) Matamshi Mazito aliyoyatoa kwa uislam kutokana na baadhi ya Makanisa kukataa mapendekezo kutoka makubaliano ya Maaskofu Uchwara

2)Kutamka hadharani Ndoto zake za Kishetani za kugeuza MISIKITI kuwa shule za chekechea..... MUNGU NI MUNGU amefanya kazi yake kuiepusha nchi kwenda mikononi kwa Ibilisi....
 
Yaani hata kama Angekuja YESU akasema jamani wakristo wote mchagueni Lowasa, kwa NEC hii asingepita!! Issue sio nani wala nani, issue ni hako ka tume kenu!! by the way mmeshamnyanyasa sana mzee wetu kipenzi, Rais wetu anaeishi na atakaendelea kuishi ktk mioyo yetu!! mwacheni sasa atulie, arefresh, atumie mafao yake mdogomdogo!! "Maskini na wanae tajiri na mali zake"
 
Ok sawa, yote yashapita, kwasasa hivi waisalam wanataka mambo mawili tu, kwanza ile MAHAKAMA YAO, pili wale Mashekh wao!! Mengine yatafuata!
 
Daktari wa kanoni Padri Dr.W.Slaa saa hizi anachekelea.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hata kama Angekuja YESU akasema jamani wakristo wote mchagueni Lowasa, kwa NEC hii asingepita!! Issue sio nani wala nani, issue ni hako ka tume kenu!! by the way mmeshamnyanyasa sana mzee wetu kipenzi, Rais wetu anaeishi na atakaendelea kuishi ktk mioyo yetu!! mwacheni sasa atulie, arefresh, atumie mafao yake mdogomdogo!! "Maskini na wanae tajiri na mali zake"

" unachukua unaweka waaa"-Kingunge ngombale Mwiru
 
Wanaolia sasa kuwa tume si huru na haki ndio wamejua Leo? Si mliambiwa nyie pigeni kura tu mengine mumuachie Mr. Magician ambaye alisajili hadi mtu anayeitwa chizi !!! ....mkasema mbinu zote za wizi mnazijua kwavile mlishiriki mara nyingi ....yaani Chadema ikawa na watu kama hawa alafu wakataka tuwaunge mkono .....isingewezekana kamwe ....mtalia mengi lakini yote yalikuwa wazi tu ....
 
Yaani hata kama Angekuja YESU akasema jamani wakristo wote mchagueni Lowasa, kwa NEC hii asingepita!! Issue sio nani wala nani, issue ni hako ka tume kenu!! by the way mmeshamnyanyasa sana mzee wetu kipenzi, Rais wetu anaeishi na atakaendelea kuishi ktk mioyo yetu!! mwacheni sasa atulie, arefresh, atumie mafao yake mdogomdogo!! "Maskini na wanae tajiri na mali zake"

...full stop.!
 
Tujifunze kuheshimu imani za wengine. Yesu Kristo angetaka Lowassa awe rais hakuna mwanadamu duniani ambaye angezuia. Kushindwa kwenu kumsimika fisadi asiyeweza kuwa rais isiwe sababu ya kukashifu imani
 
Wazungu wanasema show me your friends and I wil tell you who you are:

Ndugu Gwajima ni kiongozi, kwa maana katika mambo ya dini, ana wafuasi wengi tu lakini wale ambao siyo wafuasi wake ni wengi zaidi.

Gwajima takribani mwaka mmoja nyuma, alikuwa na Skendo iliyovuma mtaani kwamba Anatembea na mke wa Muumini katika kanisa lake aitwaye Mbasha
Mwanamke yule anaitwa Flora, ni Muimba Kwaya.

Kabla hatujakaa sawa Bwana Gwajima akasikika akimtukana Kiongozi Mkuu wa Wakatoliki hapa nchini yaani Kadinali Pengo.

Lakini pia katika press Conference yake ya Kujibu tuhuma za Dr Slaa alisikika akitoa kauli kali sana hadi mambo ya ndani kabisa ya Familia ya Dr Slaa, Ukiachilia mbali na hilo Msaidizi wake Alipopewa muda wa Kuzungumza akasikika akitoa kauli ya Kijembe kwa Dr Slaa kuwa Kwa kuwa Slaa ni Padri ambaye kwa imani ya dhehebu lake haruhusiwi kuoa, basi kukaa kwake na mke kunamfanya asiwe na Experience ya kuhandle mwanamke.

JINSI MAMBO HAYA YALIVYOMUATHIRI LOWASA

1) Skendo ya Mbasha iliwakera sana watu wengi na hivyo Mwanasiasa yeyote Kujihusisha na mtu wa aina hii kunapelekea na yeye kutokuchukuliwa kuwa ni mtu makini.

2) Kitendo cha Gwajima kumtukana Kadinali tena matusi ya kudhalilisha bila Shaka kiliwakera Wakatoliki wengi sana na hivyo Ndugu Lowasa kujihusisha na Gwajima iliwatisha watu hawa ( Siyo wote ) kuwa what is behind?

3) Kauli na Kuvujisha siri za Mke wa Slaa ziliwaumiza sana Akina mama wengi na watu wenye kufuata ushauri wa kiroho kwa wachungaji, Kitendo hiki pia kilikuwa ni sababu mojawapo kwa nini Wanawake wengi hawakuwa Upande wa Lowasa ambaye aliamua kumfanya Gwajima Chanda na pete

4) Kauli ya Msaidizi wa Gwajima ya Kuwa Dr Slaa hakuwa na experience ya kuhandle mke kwa sababu mapadre wa kikatoliki hawaoi, hii inaumiza hisia za Mapdre hawa, ambao ni wanaume kama wanaume wengine, kushambulia Masculinity yao lazima itawakasirisha, Ndiyo maana muda muafaka ulipofika wa Kuendesha somo lenye kuhusiana na Uchaguzi mkuu huu kwa waumini wao, Hawakuwa na Maneno ya kumnusuru Lowasa.

All in All
Umoja wa Gwajima na Kakobe ( Pentecostes) Ukichanganya na Kauli ya Lowasa ya " Nyerere alikuwa mkatoliki, Mkapa alikuwa Mkatoliki, Sasa ni zamu ya Walutheri) bila shaka Ilikuwa na negative consequences kiasi kwamba kuwafanya viongozi wa Kiroho wa Kikatoliki wahisi kuwa kuna Conspiracies against them. Hii iliwaprompt wachukue counter measures.

Miongoni mwa measures walizochukua ni
1) Tamko la Askofu Kilaini juu ya mtu wa sifa za aina gani anafaa kuchaguliwa, Zile sifa Eddo alikuwa anapwaya

2) Elimu kwa waumini wao, hata siku ya Uchaguzi jumapili hiyo, kwenye misa ya siku hiyo nimeambiwa liliendeshwa somo kuhusu uchaguzi na kwa mwenye akili alitambua tu kuwa Eddo is not a choice

Huu ni ukweli ambao wengi Wanakwepa kuusema. Ulikuwa ni mpambano kati ya wakatoliki na waprotenstant na hatimae wakatoliki wameibuka washindi.
 
Back
Top Bottom