Daktari wa kanoni Padri Dr.W.Slaa saa hizi anachekelea.
GWAJIMA pia amechangia kwa LOWASA kuumizwa na ndugu zetu waislam wanaojitambua.
Gwajima amekuwa anawadhallisha na kuonyesha CHUKI za hali ya juu na dhamira za kuiangamiza dini hii.
Mambo Makubwa yanayokumbukwa ni
1) Matamshi Mazito aliyoyatoa kwa uislam kutokana na baadhi ya Makanisa kukataa mapendekezo kutoka makubaliano ya Maaskofu Uchwara
2)Kutamka hadharani Ndoto zake za Kishetani za kugeuza MISIKITI kuwa shule za chekechea..... MUNGU NI MUNGU amefanya kazi yake kuiepusha nchi kwenda mikononi kwa Ibilisi....
Ok sawa, yote yashapita, kwasasa hivi waisalam wanataka mambo mawili tu, kwanza ile MAHAKAMA YAO, pili wale Mashekh wao!! Mengine yatafuata!
Watu wame orodhesha sababu nyiiingi za kifo cha UKAWA, lakini ukweli ni kwamba CCM wameshinda kwa sababu moja kuu, huko vijiji kwenye watu wengi, kura nyingi zaidi na wengi waliomchagua Magufuli, sababu kubwa ni hizi tano, ZOTE ZINAMAANISHA KITU KIMOJA, CCM imeshinda sana vijijini kwasababu zifuatazo:-
1. hawamjui Gwajima ni nani
2. hawajui Lowassa ni nani
3. Hawajui UKAWA ni nini
4. Hawajui CHADEMA ni nini
5. wao wakipiga kura wanaangalia bendera ya kijani yenye NYUNDO na JEMBE tu.
hizo sababu ndio zitaifanya CCM ikae madarakani milele, kama unataka kuitoa CCM lazima uwe ndani ya CCM. nje ya CCM nyie sahahu na mabadiliko.
Umesahau kingine ni kuwa top team wote walikuwa WALUTHERI kasoro DUNI HAJJI waliyemuazima kutoka CUF
Gwajimaa, Gwajimaa.... Hamna kazi zingine???? :smash:
Yaani hata kama Angekuja YESU akasema jamani wakristo wote mchagueni Lowasa, kwa NEC hii asingepita!! Issue sio nani wala nani, issue ni hako ka tume kenu!! by the way mmeshamnyanyasa sana mzee wetu kipenzi, Rais wetu anaeishi na atakaendelea kuishi ktk mioyo yetu!! mwacheni sasa atulie, arefresh, atumie mafao yake mdogomdogo!! "Maskini na wanae tajiri na mali zake"