jinsi gani naweza ku-encypt cd/dvd

jinsi gani naweza ku-encypt cd/dvd

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
wakuu naombeni msaada katika hilo....kama kuna software zinahitajika pia sio tatizo.. natanguliza shukran!
 
wakuu naombeni msaada katika hilo....kama kuna software zinahitajika pia sio tatizo.. natanguliza shukran!


kama unamaanisha Ku encrypt kwa password basi jibu ni hapana ! Huwezi kufanya hivyo !

Ila labda kama unataka kuizuia from being copied ! Na users wakawaida !

Nasema user wakawaida nikimaanisha ! CD zote zinauwezo wa ku kopiwa hata ziwe encrypted na users wanao elewa wanafanya nini !

Ila njia Rahisi tu niku encrypt files zako katika rar/zip kwa password naku zi burn kwenye CD/DVD !
Uki zip files zako na password zitakuwa safe !

My Take btw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom