Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Wakuu siwezi kulala kabisa kama sijanyetuka/sijapiga puchu/punyeto

Pia siwezi kuamka bila kupiga puchu

Ukitaka usiku nikae usiku kucha bila kulala basi nizuie nisipige nyeto pia ukitaka asubuhi nilale mpaka udhani nimekufa nizuie nisipige nyeto

Nateseka sana.
Tatizo kubwa sana hilo kiroho kama unafanya kwa kupitiliza utakuwa una pepo na hizo sperms zako unaziona lakini zinakwenda marine world, kuzimu ya baharini, kadri unavyoendelea ndio unajiunganisha zaidi na evil spirits, nenda kwenye makanisa ya walokole wa ukweli ukaombewe, utashangaa hiyo tabia itakoma kabisa, hata kama utaogopa kuwaeleza hiyo tabia, wewe jenga tabia ya kuudhuria maombi utaona hiyo tabia chafu unaichukia kabisa na uje utoe ushuhuda hapa ili kuwasaidia wengine
 
Mi nakushauri donlowd nyimbo za dini hata kumi, kila unapoenda kulala fungulia simu yako sikiliza itakusaudia sana, pia kama kuna demu unamfukuzia anakusumbua imagine kama amekutosa ko sahau kmaa kuna siku itatokea utalala nae, wakati wa kulla acha kabisa kugusa sehem za siri mzee, ikiwezekana usiwe Na mafuta ya lotion ndan kabisa wala sabun zenye haruf nzuri kama dalan alivera, kabla ya kulala piga push up hata 30,epuka picha za wadada zilizokaa kimitego mfano kuna uzi humu umeandikwa tupitia picha ya mdada yeyot mzuri, ni hatar ule uzi hata mim ulinisumbua juzi lkn nimeangalia wote bila hayo madude, lkn pia jaribu kujinyegesha Sana af hiyo siku jitahid usipige nakwambia kufika asubuh utaona hujapungukiwa kitu then utaanza kuona kumbe bila kupiga stil unakua fresh, kila rakheli mkuu!!!
 
Me naona hilo tatizo kwanza ww km muhusika kubali kwamba hiyo hali huipend.

2.Kufanya hivo ni roho halisi na haiwezi kukiacha kirahisi maana ni roho ya uharibifu wa mfumo wa uzazi wa mwanaume.na ndio mana ukimaliza unaumia sana.

3.Hiyo ni dhambi,na ndio mana inakutesa,dhambi yoyote hutesa.tubu na ukisha tubu fanya haya,
~km unapicha chafu kwenye simu futa zote
~km kuna magroup ya what's up mnarushianaga picha basi us i download futa.

~Anza kusoma kitabu cha dini kulingana na din yako.

~Omba na mwambie Mungu nimechoka utumwa huu,tumia damu ya YESU kuwa ondoleo la hiyo dhambi.

~Usikumbuke wala usifikirie tena hayo.Mungu ni mwaminifu atakusaidia
 
Wakuu siwezi kulala kabisa kama sijanyetuka/sijapiga puchu/punyeto

Pia siwezi kuamka bila kupiga puchu

Ukitaka usiku nikae usiku kucha bila kulala basi nizuie nisipige nyeto pia ukitaka asubuhi nilale mpaka udhani nimekufa nizuie nisipige nyeto

Nateseka sana.
Uza smartphone
 
Wakuu siwezi kulala kabisa kama sijanyetuka/sijapiga puchu/punyeto

Pia siwezi kuamka bila kupiga puchu

Ukitaka usiku nikae usiku kucha bila kulala basi nizuie nisipige nyeto pia ukitaka asubuhi nilale mpaka udhani nimekufa nizuie nisipige nyeto

Nateseka sana.
Utakua umerogwa sio bure na ujiandae majibu mazuri ya kumpa mungu siku yako ya mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom