EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,683
unauliza nzi chooni
Wako ulishawah kukatiaka?
Wako ulishawah kukatiaka?
Ni kwikwide chaliangu tulikua tunaki'happenisha kinyama kwa fas,daily mornie na ñightNyieee machaliii mlitisha sana enzi hizooo.....!!ni kweree arifuu...
Elezea kwanza imepelekeaje mkaachana na mpenzi kisa punyeto ili tukupe ushauri usikute una tatizo lingine sema hujijui..Ndugu zangu naitaji msaada kwa anaejua dawa ya kuponya MTU Alie Athilika na punyetwo
Na umri WA miaka 24 now
Nlianza iyo muchezo muchafu mwaka 2015 nkiwa form four so now nataman kuacha imekuwa gumu Sana
Nimejitaidi imeshindikana
Imeniasili kwa kiasi flan coz hata nkiwa na sex na toa mbegu kidogo mnoo
. kiukweli Hali hii naichukia Sana tena Sana imenipelekea kuachana na mpenzi wangu
Kwa anaejua tiba please, please, please naitaji anifuate pm anisaidie
Coz imekuwa too much
Kuaicha imeshindikana
Natanguliza shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa analalamika kuwa sitoyi mbeguElezea kwanza imepelekeaje mkaachana na mpenzi kisa punyeto ili tukupe ushauri usikute una tatizo lingine sema hujijui..
Sent using Jamii Forums mobile app
Noo ATA maumbile yamekuwa madogo Sana tofauti na hapo mwanzo nduguKutoa mbegu ndogo haihusiani na kupiga "PULI" aka PUCHU.