Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,192
Mtu wa digrii akishindwa mtihani wa dtarasa la saba digrii yake anyang'anywe sina jibu lingine sina wala sina huruma na utetezi wa huyo mtu.Dah! Mkuu nimesikitishwa sana na comment yako jinsi masomo unavyoyachukulia simple kwa kigezo cha lugha...
Vilaza tu ndio wanaoweza kufeli mtihani wa darasa la 7.
Mkuu usipende kutetea vilaza.