Jinsi cia alivyo iba teknolojia ya ussr

Jamaa alikuwa na kila sifa na uwezo wa kutawala dunia sema walimuwahi,vinginevyo duhh
Jamaa angetawala miaka kibao
Na ungekuta dunia SAA hizi ingekuwa mbali sana kimaendeleo...pengo la masikini na matajiri lisingekuw kama lilivyo sasa tatizo la ubepari ni kwenye umiliki Mali kwa Us pengo la matajiri na masikini ni kubwa sana lisilo mithilika mwingine akifikiria kula birthday yake ktk sayari ya mars mwingine anasubiria chakula cha mchana kutoka halmashauri ya jiji
 
Wote ni wezi tu,chanzo cha technology yote hiyo ni wanasayansi wa ujerumani ambao wote USSR na US waliwaiba kipinf cha mwisho wa vita ya pili ya dunia.Technology zote za kijeshi wanazoringa nazo Russia na US kwa sasa ni Research findings za Wajerumani.Hakuna jipya hapo,So wote ni wezi wa daraja la kwanza.
Na wote ni wayahudi
 
Ei
Yaani Hitler angemiliki nyuklia cjui dunia ingekuwa imekwisha...au wana sayansi wake walikuwa wanachelesha kutengeneza bom hilo kwa makusudi maana walishamuona hamnazo kichwani
einstein aliwai kutaka kumpa hitler formular yake ya atomic lakini hitler alimpuuza coz ilionekana kitu kisichowezekana jamaa akaenda kuwapa wamarekani wakaifanyia kazi
 
Jamaa alikuwa na kila sifa na uwezo wa kutawala dunia sema walimuwahi,vinginevyo duhh
Jamaa angetawala miaka kibao
tatizo alikua over ambitous aliishawashika pabaya sema akawa tamaa inamzidi hadi wenzake wakaamua kuungana kummaliza
 
Ila mimi nina mashaka na hii chai injine ya kurushia dude anga za juu iwekwe kwenye kasha na wakaifungua kwa usiku mmoja wakamaliza kila kitu na kurudishia jamani jamani hebu nisahihisheni vizuri au ilikuwa injini ya LANDROVER 119
 
Tatizo we nae umesoma Physics za ajabu ajabu ni possible sana tu, unaangalia ilivyoungwa tu mengine mtajazia mbele
 
Back
Top Bottom