Jinsi changudoa alivyoniibia Tshs 1M nyumbani kwangu!

Du yaani unazama chumvini mpaka kwa machangu, too bad man-utakuja pata fungus za ulimi na koo!.
..Mh! hata kumla denda tu changu ni mgogoro sasa mazee mpaka chumvini kweli we ni Mlume Ndago si mchezo.....
 
Dawa ya zinaa ni kutoisogelea kabisa! Ukishaisogelea tu, hayo yote (denda, kunyonya manyonyo na hata chumvini) unajikuta unafanya hata bila kujijua.
 
Pole sana.. Ila hilo ni somo kwako.. Karipoti polisi, then achana na VYANGU, kama sio MACHANGU.
 
Mmh huna kinyaa wewe,changudoa umezama chumvini?umemnyonya mate?fangas zote umezila,samahan mkuu nisije nikawa nakushangaa kumbe unanishangaa mimi,uwogopi ule msalaba mwekundu au umekata tamaa?
 
Foolish man!
Mtu humjui anapotoka wala anakokwenda unampeleka nyumbani! Si ulikuwa na million elfu 25 ya lodge ilikushinda?
 
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*************************************************
Mimi ni mfanya biashara hapa jijini Dar. siku moja nilipotoka katika mauzo niliamua kwenda kujipongeza na kisha niliamua kupitia 'changudoa' kwani ninaishi mwenyewe nyumbani!

Baada ya kufika nae nyumbani nilimkaribisha vizuri. Niliandaa vinywaji ambavyo nilikuwa navyo katika friji na tukanywa!

Kama unavyojua tena muda wa kula tunda ulipofika tulianza kama desturi ya 'walaji matunda' kwa kuumana midomo n.k

Niliendelea kwa kumnyonya 'manyonyo' yake na wakati zoeti la kunyonya manyonyo likiendelea nilihisi kizunguzungu! Changudoa huyo kuona hivyo akanilazimisha nizame chumvini!!!!!

Nilipokuwa nikielekea huko uvinza nikashindwa hata kufanya kazi husika na hatimaye nilijikuta nipo kitandani peke yangu na ni asubuhi yapata saa tatu hivi.

Baada ya kupata fahamu nikajua tu hapa nimeingizwa 'mjini'....Kweli nilipokimbilia katika droo yangu nikakuta kiasi cha pesa taslimu Tshs 1M zilizokuwa katika droo zimeyeyuka na kuota mbawa! Pia kuna baadhi ya makaratasi yangu ya kibiashara hayaonekani, sasa sijui ni yeye ameyakwapua?

Nilimpigia simu daktari wangu nikamweleza mkasa wote na alikuja akachukua 'sample ya vinywaji' na majibu yaliyotoka maabara ni kwamba havikuwa na dawa yeyote!

Daktari aliniambia kwamba inawezekama changu huyo alijipaka dawa hizo katika mwili wake.....

Je, wadau hivi siku hizi hawa 'viumbe' ndiyo wameamua kutuibia kwa style hii? Na je nini kifanyike kukabiliana nao?

Je, nikaripoti polisi tukio hili? (labda ninaweza kukutana naye huyo changu kwani mpaka sasa simjui anatoka wapi na wala anaishi wapi!).

MCHANGO wako unahitajika (true story)
Wee fisi maji kwel kwel yaani unaama uvinza kwa changu???
 
Huyu ni changu umeamua kumchukua nyumbani kwako. Hujui kalambwa na wangapi kwa siku hiyo haraka ya nini si mngeoga kwanza? Mijasho ya siku nzima we unaanza tu kulambalamba . Pole ila ndo fundisho
tena kulamba mpaka uvinza. ameshapita kwa wangapi ndan ya one day thn naye anamalizia. YUCK!
 
Huyu ni changu umeamua kumchukua nyumbani kwako. Hujui kalambwa na wangapi kwa siku hiyo haraka ya nini si mngeoga kwanza? Mijasho ya siku nzima we unaanza tu kulambalamba . Pole ila ndo fundisho

Wonders shall never end....!!!!
 
Kuna watu wana moyo duh! Ila huu uzi ni wa miaka 6 iliyopita.

Huko ni kujitoa ufahamu tu, ufanye hivyo ili iweje sasa. Na huu uzi sijui nani kauibua, ni wa kitambo sana kama ulivyosema!.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na akili zako timamu unamnyonya ulimi na K mpenzi au changudoa bila kupimana? Ninahisi una VVU Tatari hivyo unagawa tu hujali. Jamani ile sharia ya kusambaza vvu kwa makusudi iko wapi?
 
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*************************************************
Mimi ni mfanya biashara hapa jijini Dar. siku moja nilipotoka katika mauzo niliamua kwenda kujipongeza na kisha niliamua kupitia 'changudoa' kwani ninaishi mwenyewe nyumbani!

Baada ya kufika nae nyumbani nilimkaribisha vizuri. Niliandaa vinywaji ambavyo nilikuwa navyo katika friji na tukanywa!

Kama unavyojua tena muda wa kula tunda ulipofika tulianza kama desturi ya 'walaji matunda' kwa kuumana midomo n.k

Niliendelea kwa kumnyonya 'manyonyo' yake na wakati zoeti la kunyonya manyonyo likiendelea nilihisi kizunguzungu! Changudoa huyo kuona hivyo akanilazimisha nizame chumvini!!!!!

Nilipokuwa nikielekea huko uvinza nikashindwa hata kufanya kazi husika na hatimaye nilijikuta nipo kitandani peke yangu na ni asubuhi yapata saa tatu hivi.

Baada ya kupata fahamu nikajua tu hapa nimeingizwa 'mjini'....Kweli nilipokimbilia katika droo yangu nikakuta kiasi cha pesa taslimu Tshs 1M zilizokuwa katika droo zimeyeyuka na kuota mbawa! Pia kuna baadhi ya makaratasi yangu ya kibiashara hayaonekani, sasa sijui ni yeye ameyakwapua?

Nilimpigia simu daktari wangu nikamweleza mkasa wote na alikuja akachukua 'sample ya vinywaji' na majibu yaliyotoka maabara ni kwamba havikuwa na dawa yeyote!

Daktari aliniambia kwamba inawezekama changu huyo alijipaka dawa hizo katika mwili wake.....

Je, wadau hivi siku hizi hawa 'viumbe' ndiyo wameamua kutuibia kwa style hii? Na je nini kifanyike kukabiliana nao?

Je, nikaripoti polisi tukio hili? (labda ninaweza kukutana naye huyo changu kwani mpaka sasa simjui anatoka wapi na wala anaishi wapi!).

MCHANGO wako unahitajika (true story)
MBONA KAMA NI LILE TANGAZO LA MRADI WA MALARIA LILE!
 
Kalambwa na watu nane kwa ck we wa tisa kwa siku moja na unaramba chumvin?
 
Nakupa Pole japo ulijitakia kwenda na changu nyumbn.

Pia ushauri kua uoe ndio bora zaid au uwe na mpenzi mnayeaminiana
 
Back
Top Bottom