Rudisha rambi rambi mwizi mkubwa wa rambi rambi za mjane wa mwangosi, hata aibu huoni.Mimi natoka Kalenga,
Nene Mwalukosi, wewe mwa nani? Unaijua Kalenga vizuri wewe?
Rudisha rambi rambi mwizi mkubwa wa rambi rambi za mjane wa mwangosi, hata aibu huoni.Mimi natoka Kalenga,
Nene Mwalukosi, wewe mwa nani? Unaijua Kalenga vizuri wewe?
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo, Chadema ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya ukabila, ukanda na udini. Lakini pia ndani ya chadema kuna makundi makubwa ya aina tatu ambayo kila moja wapo linaamini kuwa ndio wenye haki ya kukiongoza chama
1. TEAM SLAA, Hili ni kundi linaloongozwa na Mwenyekiti Mbowe na ndilo lenye wafuasi wengi ndani ya chadema kwa sababu asilimia kubwa ya wanachama wa chadema wanatoka kaskazini . Kundi hili lina vijana wengi wanaotembea na sumu mifukoni ili kuwadhuru maadui, asilimia 40% ya wanachama wa Chadema ni TEAM SLAA.
2. TEAM ZITTO, Hili kundi linaloongozwa na Zitto mwenyewe ndio kundi ambalo limejengwa kwa misingi ya kisomi zaidi na lina sapoti kubwa kutoka kwa wanachadema walioelimika na kujitambua. Hili kundi linabaguliwa sana kwa sababu ni la watu wa daraja la pili sababu sio wa kutoka kaskazini. Kundi hili likihama litaondoka na asilimia 35% ya kura za chadema
3. TEAM SHIBUDA, Hili kundi linaongozwa na Shibuda mwenyewe kwa sasa Chadema hawaamini kama lina nguvu lakini kwa kifupi hili ndio kanda ya ziwa victoria yote na Mara, kundi hili linakubalika sana na watu kutoka vyama vyote vya kisiasa nchini lakini kama lilivyo kundi la Zitto, hili kundi linadharauliwa kwa sababu wenye kundi sio wa kaskazini, Hili kundi siku likihama Chadema litahamisha asilimia 25% ya kura za Chadema
Kwa hali inavyoonekana Team SLAA inaonekana kuwa tayari wameishajitangazia kuwa wagombea urais kwa tkt ya Chadema ,. Hii itasababisha mvurugano mkubwa ndani ya chadema na litapelekea TEAM SHIBUDA na TEAM ZITTO kujitoa , jambo ambalo litakuwa limeimaliza kabisa Chadema
JITAMBUE
![]()
![]()
![]()
Halafu kwao bavicha wanaona matusi ndiyo mkombozi kwao badala ya hoja.
Uko nje kabisa ya mada, Suala la Rambi rambi niliishaliweka wazi kuwa anazo Msigwa.Rudusha rambi rambi mwizi mkubwa wa rambi rambi za mjane wa mwangosi, hata aibu huoni.
Siku wakijua ukubwa wa TEAM SHIBUDA itakuwa too lateTEAM Shibuda, huyu ana wafuasi wengi sana kutoka kwa Wasukuma wa kanda ya ziwa, kitendo cha kumnyanyasa kimewafanya Wasukuma wengi kuachana na Chadema.
Uko nje kabisa ya mada, Suala la Rambi rambi niliishaliweka wazi kuwa anazo Msigwa.
Naomba utujuze wewe ni TEAM SLAA, TEAM ZITTO au TEAM SHIBUDA?
TEAM Shibuda, huyu ana wafuasi wengi sana kutoka kwa Wasukuma wa kanda ya ziwa, kitendo cha kumnyanyasa kimewafanya Wasukuma wengi kuachana na Chadema.
Uko nje kabisa ya mada, Suala la Rambi rambi niliishaliweka wazi kuwa anazo Msigwa.
Naomba utujuze wewe ni TEAM SLAA, TEAM ZITTO au TEAM SHIBUDA?
Unaiba mpaka rambi rambi za mjane wa mwangosi. ..hata husikii guilty? Njaa gani hiyo iliyokuzidi wakati unaishi kwa shemeji yako, kula bure , kulala bure....iweje ufikie hatua ya kuiba rambi rambi za mjane wa mwangosi? ??? Ona laana inavyokutafuna.
TEAM Shibuda, huyu ana wafuasi wengi sana kutoka kwa Wasukuma wa kanda ya ziwa, kitendo cha kumnyanyasa kimewafanya Wasukuma wengi kuachana na Chadema.
Mkuu,"Kwani kuna ubaya gani mimi msukuma wa watu nikigombea Urais kwa tiketi ya Chadema" - Shibuda.
Mshaurini ndugu yenu arudishe rambi rambi za mjane wa mwangosi. Kuitukana chadema hakutamsaidia kitu...laana zitammaliza.Hauoni aibu mkuu? Si umeshaambiwa ukamuulize Msigwa?
Hujaelewa kinachoongelewa tukueleweshe au ndiyo akili yako ndogo kuliko ya Korongo?
Mkuu,
Shibuda, agombee urais kupitia Chadema nani atakayempitisha? Ni sawa sawa useme Mwita Maranya. Au Mohamedi Mtoi. wagombee uongozi Chadema Makao Makuu.
Rambi rambi za mwangosi alipewa msigwa.Rudisha rambi rambi mwizi mkubwa wa rambi rambi za mjane wa mwangosi, hata aibu huoni.
Kwani wewe ni mtoto wa kikwete au unataka uwe mtoto wa kikwete?Mtoto wa fisadi kikwete za masiku?
Umeandika matusi soma mwisho wa sentesi yako ,kwa nininbavicha wengi mnamatatizo ya upeo?Hahahaaa mkuu unajitekenya afu unacheka mwenyewe...kwel Cdm imewagandaa