Jinsi CHADEMA itakavyojimaliza yenyewe kuelekea 2015

Status
Not open for further replies.

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,948
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, Chadema ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya ukabila, ukanda na udini. Lakini pia ndani ya chadema kuna makundi makubwa ya aina tatu ambayo kila moja wapo linaamini kuwa ndio wenye haki ya kukiongoza chama

1. TEAM SLAA, Hili ni kundi linaloongozwa na Mwenyekiti Mbowe na ndilo lenye wafuasi wengi ndani ya chadema kwa sababu asilimia kubwa ya wanachama wa chadema wanatoka kaskazini . Kundi hili lina vijana wengi wanaotembea na sumu mifukoni ili kuwadhuru maadui, asilimia 40% ya wanachama wa Chadema ni TEAM SLAA.

2. TEAM ZITTO, Hili kundi linaloongozwa na Zitto mwenyewe ndio kundi ambalo limejengwa kwa misingi ya kisomi zaidi na lina sapoti kubwa kutoka kwa wanachadema walioelimika na kujitambua. Hili kundi linabaguliwa sana kwa sababu ni la watu wa daraja la pili sababu sio wa kutoka kaskazini. Kundi hili likihama litaondoka na asilimia 35% ya kura za chadema

3. TEAM SHIBUDA, Hili kundi linaongozwa na Shibuda mwenyewe kwa sasa Chadema hawaamini kama lina nguvu lakini kwa kifupi hili ndio kanda ya ziwa victoria yote na Mara, kundi hili linakubalika sana na watu kutoka vyama vyote vya kisiasa nchini lakini kama lilivyo kundi la Zitto, hili kundi linadharauliwa kwa sababu wenye kundi sio wa kaskazini, Hili kundi siku likihama Chadema litahamisha asilimia 25% ya kura za Chadema

Kwa hali inavyoonekana Team SLAA inaonekana kuwa tayari wameishajitangazia kuwa wagombea urais kwa tkt ya Chadema ,. Hii itasababisha mvurugano mkubwa ndani ya chadema na litapelekea TEAM SHIBUDA na TEAM ZITTO kujitoa , jambo ambalo litakuwa limeimaliza kabisa Chadema

JITAMBUE
zitto-kabwe.jpg
shibuda-new.jpg
Dr+Wilbrod+Slaa.jpg
 
Mla rambi rambi mengi utasema, mengi itaandika ila chadema ipo na itaendelea kuwepo...hizo ni ndoto za alinacha.so weww endelea kuota ndoto za mchana tuu. ..sasa hebu rudisha zile rambi rambi ulizoiba za mjane wa mwangosi kwasababu hiyo ni laana.
 
Uko nje ya mada mkuu.

Hebu tuambie, wewe ni TEAM SLAA, TEAM ZITTO au TEAM SHIBUDA?
 
Umenena mkuu lukos ila subiria mvua ya matusi kwa hii mibavicha huwa haikubali ukweli na maneno yao ya buku 7 yanabore.

Tulishaambiwa BAVICHA na matusi ni kama samaki na maji.
 
Katika hayo makundi, lipo kundi moja lenye wafuasi wengi nje ya Chadema. Linaungwa mkono na watanzania wengi wasio na vyama.

Tanzania ni MOJA...
 
Lukosi endeleza propaganda...nimetoka Ngara juzi...vijana wanaomba tume iboreshe daftari la kupiga kura...
Endeleza propaganda za Nape za Udini, Ukabila na Ukanda jua kwamba vijijini mwamko unakuja...wewe kaa na hiyo single...nalafu RAMBIRAMBI UNAKUMBUSHWA
 
TEAM Shibuda, huyu ana wafuasi wengi sana kutoka kwa Wasukuma wa kanda ya ziwa, kitendo cha kumnyanyasa kimewafanya Wasukuma wengi kuachana na Chadema.
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, Chadema ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya ukabila, ukanda na udini. Lakini pia ndani ya chadema kuna makundi makubwa ya aina tatu ambayo kila moja wapo linaamini kuwa ndio wenye haki ya kukiongoza chama

1. TEAM SLAA, Hili ni kundi linaloongozwa na Mwenyekiti Mbowe na ndilo lenye wafuasi wengi ndani ya chadema kwa sababu asilimia kubwa ya wanachama wa chadema wanatoka kaskazini . Kundi hili lina vijana wengi wanaotembea na sumu mifukoni ili kuwadhuru maadui, asilimia 40% ya wanachama wa Chadema ni TEAM SLAA.

2. TEAM ZITTO, Hili kundi linaloongozwa na Zitto mwenyewe ndio kundi ambalo limejengwa kwa misingi ya kisomi zaidi na lina sapoti kubwa kutoka kwa wanachadema walioelimika na kujitambua. Hili kundi linabaguliwa sana kwa sababu ni la watu wa daraja la pili sababu sio wa kutoka kaskazini. Kundi hili likihama litaondoka na asilimia 35% ya kura za chadema

3. TEAM SHIBUDA, Hili kundi linaongozwa na Shibuda mwenyewe kwa sasa Chadema hawaamini kama lina nguvu lakini kwa kifupi hili ndio kanda ya ziwa victoria yote na Mara, kundi hili linakubalika sana na watu kutoka vyama vyote vya kisiasa nchini lakini kama lilivyo kundi la Zitto, hili kundi linadharauliwa kwa sababu wenye kundi sio wa kaskazini, Hili kundi siku likihama Chadema litahamisha asilimia 25% ya kura za Chadema

Kwa hali inavyoonekana Team SLAA inaonekana kuwa tayari wameishajitangazia kuwa wagombea urais kwa tkt ya Chadema ,. Hii itasababisha mvurugano mkubwa ndani ya chadema na litapelekea TEAM SHIBUDA na TEAM ZITTO kujitoa , jambo ambalo litakuwa limeimaliza kabisa Chadema

JITAMBUE
zitto-kabwe.jpg
shibuda-new.jpg
Dr+Wilbrod+Slaa.jpg

Wewe Lukosi unatuaibisha sana wananyangali,mimi ni mwanachadema kutoka Ulanda,wilaya ya Iringa v,jimbo la kalenga[ambalo chadema tutaongoza kuanzia nov 2015],je kati ya ukabila,udini na ukanda unaosimamia wewe,sisi wa kalenga unatuweka upande gani?MUFILISI LAZIMA AWE CCM
 
Unajipa moyo kweli......Ni haki kwa mgonjwa wa ukimwi stage 4 kjipa moyo ataishi milele..
 
Kuna mtu hapa kati kati atapata matatizo makubwa sana ndani ya chadema kutokana na huu mgogoro wa ruzuku lazima kunakitu kitatokea tu si bure zito kagusa maslahi ya wazee ngoja tusubiri tuone.
 
Wewe Lukosi unatuaibisha sana wananyangali,mimi ni mwanachadema kutoka Ulanda,wilaya ya Iringa v,jimbo la kalenga[ambalo chadema tutaongoza kuanzia nov 2015],je kati ya ukabila,udini na ukanda unaosimamia wewe,sisi wa kalenga unatuweka upande gani?MUFILISI LAZIMA AWE CCM
Mimi natoka Kalenga,

Nene Mwalukosi, wewe mwa nani? Unaijua Kalenga vizuri wewe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom