Jino la bandia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jino la bandia.

Discussion in 'JF Doctor' started by Pretty R., May 2, 2012.

 1. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wana jamii wenzangu habari za usiku? Mm nilikuwa naomba mnielekeze sehemu ambapo naweza kununua jino la bandia maana sijui huwa wanauza wapi. Asanteni sn.
   
 2. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ha ha unataka urembo?..panda magari ya sinza shuka msikitini uliza hayo maeneo kuna jamaa anayatengeza.+au nenda bruhani hospitali watakutengenezea..
   
 3. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  angalia ni aina gani ya meno. kama unataka implant, yaani wanapandikiza jino moja kwa moja halitoki tena, nenda nje ya nchi, ila si chini ya dola 2000. kama ya kuwa unachomeka tu, nenda muhimbili kitengo cha meno wataalamu wengi tu, bei nafuu!!
   
Loading...