Umesema ukweli tupu.
Ngoja tusubirie michango zaidi kutoka kwa wadau.
Nakumbuka mwaka jana kuna binti mrembo aliombewa kanisani, yaani ilikuwa patashika.
Baada ya kuombewa, alitoa ushuhuda jinsi alivyokuwa akitumika kingono lakini nafsi yake hakuwa akipenda kushiriki na watu wengi tena tofauti tofauti.
Alisema alikuwa akitongozwa hakatai, na kwa siku moja aliweza kutembea hata na wanaume hata 6 kwa wakati tofauti bila kuchoka.
Sasa, jiulize kama angekuwa muathirika wa ukimwi angeambukiza wangapi?
Ngoja tumsubirie Mshana atupe uhondo wa hili jambo.