nenda wanapouza mdudu mchafu yani kitimoto katiwa kilo moja kampikie kwako ndani na ule nyama yake uone kama atarudi tena kwako ndiyo dawa
Kemea ndugu yangu
hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa
Achana na hilo jini, Lipeleke kanisani uone kama litabaki hapo!
hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa
kanisani tena ?
Pole sana mkuu!!kw nini utukane dini yangu? Kwani kwenu huko si mnatoaga mapepo ? Na hao mnaowatoa mapepo ni waislamu wale ? Na kama sio waislam basi usije hapa na kutukana dini za wengine . Mimi hapa sijahusiha dini ya mtut yoyote hapa wewe umekuja tu hapa unaanza kushambulia tu hapa , wewe ni msafi?
Toa kwanza boriti kwenye mboni ya jicho lako kabla ya kuanza kutoa kibanzi.
most of the majinis i know begin with mtandao ndo yanamalizia na kawaida
Kwanza siamini uwepo wa jini mahaba. Ni mambo ya vijana tu wanaopenda kuchovyachovya/vicheche ndio maana hawakai na wapenzi. Lakini kwa maaelezo nilosoma humu inaonesha hata kwa wadini nyengine wanakumba na hao mabinti majini mahaba. Au sijafahamu nini kinazungumzwa hapa?]tatizo lenu nyie waislam ndo hilo, mnafuga majini[/COLOR], na mnaoa majini mkifikiri yatawapa pesa na maendeleo...matokeo yake ndo hayo..kama wewe au dingi yako ndo alilipata hilo unalo..na ukioa mwanamke wa kawaida, linafunga kizazi, ukibahatika kuzaa na mwanamke mwingine lina ua watoto au linaua mimba..hata mkeo halali linaweza kuua...hapo ulipo hutaoa tena kama hautaokoka na kubadili hiyo dini ya mtume mwamedi.
we jamaa unaweza kupiga picha jini kivipi?...ila kama vipi nitajaribu hii kitu. Jamani majini ni kama ndugu zetu
Mtegeshee kamera ya video. Wakati anakupa uleda kamera itakuwa inarekodi, halafu pachika Youtube na tuwekee hapa.
kivipi?
nikipiga kitimoto haji, sema baada ya sku moja anatokea na kunikaba kinoma yaani. Bora hata nisipige tu hicho kiti moto manake adhabu yake si ya kitoto
Sema in the name of jesus christ kila ukiona hali inaanza yaani anakuja kemea mara nyingi mpaka utaona umestuka hapo utakuwa umemshinda kiaina. waone wachungaji watakusaidia