Jini mahaba ananipa mambo

Jini maana yake nini? na je unaweza kuwa na uhusiano na jini kama wewe siyo jini pia?

Pole sana piga goti sali sana mwombe Mungu naye atakuepusha na hilo jini, lakini kama umeridhika nalo endelea kupata vitu

hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa

Mambo yote kwa YESU. Yeye ni kiboko ya haya majini na kazi zake. Mkimbilie leo naye atakuweka huru.

Jini maana yake nini? na je unaweza kuwa na uhusiano na jini kama wewe siyo jini pia?
Jinn =kutoonekana.
Ni lugha ya kiarabu.
Lakini ni kiumbe kama wewe bin-adam.
Tena ujiulize pia ...bin-adam ni nin?

Hivi haya majini mahaba yako kwa waafrika tu au kila mahali!!!

Yapo kwa wanao yaamini hasa waafrika na warabu. Wengine hawana mpango nayo ni kama stori tu za "Jogoo aliyesema" au "chura aliyeua tembo".....

Jaman muwe mnatumia na akili zenu...kutafakari.

Jinn ni kiumbe bila shaka. Kama si kiumbe kwa hiyo imani yako... jinn ni nin?

Halafu neno shaytwan ni sifa. Hata ww binadam unaweza itwa shaytwan.

Lakin ww binadam huwezi itwa jinn and virce versa.

Uliza ujibiwe na uelimishwe zaidi kuhusu hao viumbe(majinn).

Shekhe maalim sikiza ndio maana nikatofautisha kuna imani na imani, sasa hiyo sindio imani yako wewe, halafu mimi ukiniambia shaytwan sijuhi hata ni kitu gani unamaanisha?

tatizo lenu nyie waislam ndo hilo, mnafuga majini, na mnaoa majini mkifikiri yatawapa pesa na maendeleo...matokeo yake ndo hayo..kama wewe au dingi yako ndo alilipata hilo unalo..na ukioa mwanamke wa kawaida, linafunga kizazi, ukibahatika kuzaa na mwanamke mwingine lina ua watoto au linaua mimba..hata mkeo halali linaweza kuua...hapo ulipo hutaoa tena kama hautaokoka na kubadili hiyo dini ya mtume mwamedi.

Hiki siyo kitu cha kufurahia hata kidogo,ni kujitengenezea mateso ambayo hayaelezeki,nasema hili nikiwa na ushahidi.
Tafuta kutengeneza mambo yako na Bwana Yesu,uweze kuondokana na hiyo hali,wakati mwingine huchukua muda la msingi ni kuamini katika KRISTO UTAKOMBOLEWA

Shekhe maalim sikiza ndio maana nikatofautisha kuna imani na imani, sasa hiyo sindio imani yako wewe, halafu mimi ukiniambia shaytwan sijuhi hata ni kitu gani unamaanisha?
Nafikiri hujaelewa maana ya imani...
Majini pia ni imani kwa kua hayaonekani hvyo watu wanayasikia kupitia maandiko matukufu...na ndipo zinapopatikana hizo habari.
Mashaytwan kama huelewi maana yake ...naomba urejee huko nyuma ndani ya hii topic utakuta tu.
Pia siku nyingine kama hujui kitu uwe unauliza sio kutengeza ukingo wa kukanusha.
Sisi waumini wa uislam tumefundishwa kuuliza kuliko kueleza usiyo yajua...
Hatuna falsafa za kila mtu....hilo ndio huathiri watu wengi ambao hawafuati njia (dini) sahihi.

muombe umpige picha uje utuoneshe hapa jamvini ili tuone majini yalivyo lol
jf hakupungui raha.

we jamaa unaweza kupiga picha jini kivipi?...ila kama vipi nitajaribu hii kitu. Jamani majini ni kama ndugu zetu

tatizo lenu nyie waislam ndo hilo, mnafuga majini, na mnaoa majini mkifikiri yatawapa pesa na maendeleo...matokeo yake ndo hayo..kama wewe au dingi yako ndo alilipata hilo unalo..na ukioa mwanamke wa kawaida, linafunga kizazi, ukibahatika kuzaa na mwanamke mwingine lina ua watoto au linaua mimba..hata mkeo halali linaweza kuua...hapo ulipo hutaoa tena kama hautaokoka na kubadili hiyo dini ya mtume mwamedi.

kw nini utukane dini yangu? Kwani kwenu huko si mnatoaga mapepo ? Na hao mnaowatoa mapepo ni waislamu wale ? Na kama sio waislam basi usije hapa na kutukana dini za wengine . Mimi hapa sijahusiha dini ya mtut yoyote hapa wewe umekuja tu hapa unaanza kushambulia tu hapa , wewe ni msafi?
Toa kwanza boriti kwenye mboni ya jicho lako kabla ya kuanza kutoa kibanzi.

NDUGU NITAFUTE KWA "gcharlesj@gmail.com" nikupe na ukiona vema unipe number yako ya simu nikuombee yakukome hayo majini mahaba kabla hayajakuoa na kukuzalisha au kukupeleka kwao. Other wise "TAKE A GOOD CARE OF YOURSELF".

Back
Top Bottom