Jini mahaba ananipa mambo

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Hii stori ni ya kweli jamani, hataki niwe na demu ,kila nikipata demu sikai nae ,sasa niendelee na huyu jini mahaba au nifanyeje? Ushauri jamani sio mzaha na hawa jini mahaba hawana magonjwa kama kaswende ukimwi kisonono au kichocho? .. Nipo njia panda jamani hapa
 
Duh, Unanitiiiisha kaka

Inaonekana uko fiti sana, Ushauri wangu ni wamba endelea kupiga ila liulize kama mnaweza kuzaa watoto na kama hao watoto hawatokua Majini sijui!

Mema kaka
 
mmmmmmmhhhhhh!!!!! Sheikh Yahya upooooooooo?kama unaingia jamvini msaidie Ivuga.
 
Umejuaje kuwa jini mahaba anakuandama? Sema unamuona?,unalala naye ? toa details vinginevyo ni vigumu kujua kama una jini mahaba au ni failures zako tu mwenyewe.
 
Mkafunge ndoa mzae watoto, kwa sasa tumieni kondom hadi mtakapopima
 
Uhusiano wowote kati ya m wanadamu na jini huisgia kwa mwanadamu kufa kwa kunyonywa damu hivyo usifurahie sana SIKITIKA MNO uko njia panda ya KIFO na UZIMA.
Ushauri wangu:
Nenda kwa watumishi wa Mungu waliokoka wakakufanyie maombi uwekwe huru kwani kwa sasa umefungwa usifikiri uko salama.
 
duh! Well nilikuwa napita tu! Otherwise mhusika atupe details kwamba kampateje na wanakulaje malavidavi!
 
Back
Top Bottom