Umejibu vyema sana, nilikuwa najiuliza sababu ya hawa jamaa kipendelea gari hizi;Geographical factors,marekani ni kubwa sana kutoka sehemu moja na nyingine ni sawa kutoka dar to cape town, sasa ukitengeneza magari yenye engine dongo itakuwangumu kusafir umbali mrefu,ndio maana marekani wanapendelea magari ya engine kubwa tofaut na Europe ambayo ni ndogo kigeographia,
Gari ndogo ukisafiri kwa umbali mrefu inakufa engine mapema sana,umbali wa kilometer 3000 lazima utumie magari yenye cc kubwa sana

Mkuu, magari mengi ya Kimarekani ni muscle cars, engine zake zinaanzia 3000cc to 5000cc. Angalia Ford mustang ambayo ni saloon car utaona ukubwa wa engine. Mpaka leo hii, Marekani hawatengenezi magari ambayo ni 'economy' kwenye mafuta. Hata Japan cars ambazo zinatengenezwa kwa soko la Marekani, ni muscle cars tena Petrol engine.
Ila Magari ya kimarekani mie siyapendi kuanzia spare zake ni ghali mpaka ujini mafuta, ndo mana sina hata gari napanda daladala, na Bajaj.
ha ha ha ha ha ntafanya hivyo lol.uwe unapanda na bajaj yangu, uache ubaguzi wako!
Ahsante.ha ha ha ha ha ntafanya hivyo lol.
Sio kipindi hiki cha Magu wengi wameyapaki uaniWatu wengine huwa tunaishangaa serekali inapowalipa polisi kwenda kukimbizana na makahaba. Muda huo wangeliwaruhusu polisi kwenda kuangalia tv nyumbani kazi yao ingekuwa ya hali yajuu. Sasa weye mshan jr si lazima tukushangae unapoliita hili gari kuwa ati ni jini la petrol?? Hiyo gharama unaiona weye lakini mwenye nalo anakushangaa weye kumshangaa.
Anapoenda kulinunua anasoma maelekezo yake. Anajua kuwa ulaji wa hayo mafuta ni huo. Anajua kuwa hachimbi mafuta uani kwao. Hivyo akienda kituoni anajua kabla hawajaingiza mrija wa mafuta kwa gari, mfukoni ana ngapi.
Usiseme hatuna hela, sema sina hela. Matumizi yanatofautiana. Hiyo mbona mwingine anatamani atoke nayo Tanga kwenda Dar kulala kule coco beach arudi jioni kulala Tanga tena kila weekend?
Wamarekani wanapenda vitu vikubwa tu.....lakini wana reserve kubwa ya mafuta kuliko nchi yoyote duniani. Lakini kumbuka pia wao wanachukua mafuta uarabuni kwa bei nzuri.Huwa najiuliza kwa nini gari zao zipo hivi, au wenzetu wana offer ya mafuta nini?? Na wanazipenda kweli kweli
correct na wadau wasisahau kwamba marekani anachimba mafuta na anauza kwa gallon ambayo ni kama lita tano na yanauzwa cheap zaid bei ya lita moja hapa Tanzania,,Geographical factors,marekani ni kubwa sana kutoka sehemu moja na nyingine ni sawa kutoka dar to cape town, sasa ukitengeneza magari yenye engine dongo itakuwangumu kusafir umbali mrefu,ndio maana marekani wanapendelea magari ya engine kubwa tofaut na Europe ambayo ni ndogo kigeographia,
Gari ndogo ukisafiri kwa umbali mrefu inakufa engine mapema sana,umbali wa kilometer 3000 lazima utumie magari yenye cc kubwa sana
Hahahaa... ntakuletea PASSOIla Magari ya kimarekani mie siyapendi kuanzia spare zake ni ghali mpaka ujini mafuta, ndo mana sina hata gari napanda daladala, na Bajaj.
ha ha ha mbona ntashkuru, mko wachache sana.Hahahaa... ntakuletea PASSO
Hahahaa... ntakuletea PASSO