Jini kismati vs jini mahaba

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,845
Kismati ni bahati....ni kung'arishwa kwa nyota...ukiwa na kismari unakuwa na bahati kila unachogusa kinakuja sharp kwa haraka...hukazi msuli hupati shida kama wengine ....hutumii nguvu nyingi
Jini hili lina kaliba 3....
Kaliba ya kwanza kumtokea mtu kwa siku moja tu
Kaliba ya pili mimtokea mtu kwa wiki ama mwezi
Kaliba ya tatu kumtokea mtu kwa kipindi kirefu....
Ndio maana husikia watu wakisema siku fulani walikuwa na kismati au
Wiki fulani au
Mwezi fulani hata mwaka
Jini kismati hana hiyana humtokea yoyote muda wowote bila kujali jinsia....japo humtokea mtu kwa vigezo, utashi na mapenzi binafsi....
Wauza pete za bahati hupenda hutumia rangi apendazo jini kismati ili kumvuta

Jini mahaba hili halina kitu...linaongozwa na wivu mkali sana....halitaki shirika na mtu na kwa sehemu kubwa huwaingia wanawake na kwa uchache wanaume
Likimwingia mwanamke basi huyo mwanamke hatokaa adumu na mpenzi au hatokuwa na mpenzi kabisa na kupata mtoto itakuwa ni ndoto
Limimwingia mwanaume basi jamaa atakuwa kicheche zaidi ya kicheche mwenyewe......
Kuna wanawake pia huingiwa na jini mahaba la kupenda ngono kuliko maelezo...wanaume ama wanawake wanaokumbwa na aina hii jini mahaba huwa hawatosheki ngono...ndio maana huwa malaya sana......

Je majini haya huweza kuondoka ama kutolewa?
Jibu ni hapana....isipokuwa tu kwa kuamua ama kukataa usumbufu wa kelele za manyanga ,nghani za kidini,harufu ama rangi wasizopatana nazo
Jini kismati hana shida ila ukosefu wa ulamilifu wa kibinadamu ndio humkimbiza...
Jini mahaba huyu huwa jeuri lakini pia ana vipindi vya kukaa kwa mtu mmoja...kama anakaa kwa muda mfupi una afadhali ila kama ana kikao cha ndoa ya kikristo ...umekwisha rafiki...utamaliza mawalii wote lakini hatoki...

NB: Mambo haya yapo kwa uchache mno mpaka kuonekana kama story za vijiweni.a.. hivyo unaposikia habari zake chukua muda wa kuchagua cha kuamnini kwakuwa uzushi ni mwingi
 
Nina Kaka yangu mmoja wa damu alikuwa nalo moja mpaka akazaa nalo watoto wawili mkuu alikuwa na Mali pesa kwa chochote alichokifanya pesa iliingia, shida alipotaka kuoa ugomvi ndipo ulipoanzia, kila akikutana na mchumba wake si kwamba tu kiume kinakuwa kimekufa Bali mfumo wote kiunoni unakufa ganzi mpaka mwanamke aondoke, hapo ndipo alipokuja kufunguka macho, alimaliza waganga na mawalii nchii hii, tulikwenda mpaka kilwa masoko huko tulikutana na vimbwanga mpaka vibatali vinaongea alihakikisha anaondoka ktk mwili wake wa Kaka na Mali yake hakuna, hakuna mganga Wala shekhe aliyemuweza, kwa Sasa kaoa mke wake na ana watoto watatu ila anauza Genge....maana kabla ya kutoka lilishamwambia nilivyokukuta ndivyo nitakavyokuacha....hii dunia Ina mengi Sana tusiyoyajua....
 
mkuu mbona siku hizi unaandika mbio mbio sana...ama wamekuteka nini...?
 
Shida moja ya hivi viumbe ni uchoyo ubinafsi wivu na rohombaya
 
Kwahiyo majamaa yanajiunga na bando la halichachi hadi simu ife....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom