Jini kabatini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jini kabatini

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bujibuji, Oct 6, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Mzee karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,
  DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu
  BABA: Hakuna kitu kama hicho
  DOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguo....Mzee kaingia ndani kamkuta
  mkewe kalala kitandani kajifunika shuka gubigubi hadi kichwani. Kaenda kwenye kabati
  kufungua mlango , akamkuta rafiki yake wa miaka mingi yuko uchi ndani ya kabati BABA: Aise unajua we **** sana, we rafiki yangu miaka yote hiyo halafu unamtisha
  mwanangu eti wewe jini, hebu toka huko nenda kwenu kacheze michezo hiyo na
  mwanao.
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo limbwata at work..... Lazma !!!
   
 3. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  AyaaaaaaaaaH!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  SIO LIMBWATA, jamaa ni kabatini ni karateka
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Huyu member inaonesha ni banned na last activity yake ni leo saa 11.59 asbh.
  Sasa kakoment hapa vp?
   
 6. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  SeNior memBers hAwapiGwi banneD za ovYoOvyo.Mimi nikiWa na taTizo mod aniniiTa faragha tunaYasuRuhishA kazi kWako saSa.
   
 7. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Atakuwa bwegeee tu chezea marogo weye

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 8. p

  pretty n JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duuh kaz kwelkwel
   
 9. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Acha hizo imani mkiambiwa mnaongoza kwa ushirikina africa mnakasirika
   
 10. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Thats the meaning of real men....mwanamke akitoka hapo lazima akajihukumu anavyojua yeye hata kwa kujinyonga
   
 11. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  weeeeeeee!weeeeeeeee!
   
 12. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  hii ni kali
   
Loading...