Jingine tena....usaliti wa mpenzi wangu

Jingine tena....usaliti wa mpenzi wangu

Hamna mkuu, girisi mimi nampakishaga kwenye vyuma vyake sana tu, ametokea familia ya dhiki kiasi(no offence) kwa hiyo huwa namhudumia shida zake sana tu na kwao pia nawabeba kiasi fulani!!!
Mimi ni muajiriwa wa kawaida tu vile vipesa vya magauni na outings havinipigi chenga, na ka-baby walker kangu kapo ka kumbeba, ila itakuwa tu tabia yake ndo hii coz nilimpenda jinsi alivyo na shule hajaenda kivile, nilidhani naandaa mke kumbe nataka kuolea watu wengine

Inaumiza kiasi fulani wakuu! Naona kama nakuwa na relationships zinazofail mara kwa mara...maybe kuna something wrong with me
labda hizo girisi uzihamishie kwangu
 
Kama mnavyoona hapo chini, mimi huwa sipendi kumnafikia mtu, nmekuta hyo text kwenye simu ya mpenzi wangu, na hiyo namba naifahamu, ni ya jamaa fulani anatuuziaga Samaki(kibua) mara nyingi mahali nilikopanga, mpnz wangu huwa anakuja na anashinda hapo mara nyingi akinifanyia usafi e.t.c...sasa leo sijui imekuwaje nashika simu yake nakutana na hyo....ina maana alichukua namba ya muuza samaki na ameanza kumtoboa...anyways all is Well ila nimepanic kiasi fulani wakuu!!
217084f13cadea990706d8894ddbd51d.jpg


Kama huyu mwanamke yupo JF basi ataona na atang'oa mwenyewe maana hasira zangu nazijua mwenyewe, nikimuuliza na akikana tu nitamuumiza, bora nikae kimya aniache yeye
Texts za upande wa kushoto(yellowish) ni za muuza samaki na za kulia(light blue) ni za manzi....
Ohoooo! Basi sawa. Huyo muuza Samaki ni swine kweli kweli.
Weka mawasiliano yake hapa tumtumie GuDume kutoa oda ya Samaki...alete huku Samvulachole.
 
Back
Top Bottom