Jingine tena....usaliti wa mpenzi wangu

Jingine tena....usaliti wa mpenzi wangu

Nikushauri kitu mdogo wangu.
fanya uchunguzi.ingawa unaogopa consiquences lakini jikaze kiume hayo mambo yanatokea kila siku wala wewe hujawa wa kwanza!ukishajiridhisha basi utaamua wewe ujilipue mara moja au uendelee kuumia kila siku sababu ukishajua mtu unaempenda amekusaliti kila siku roho itakuuma ukimuona lakini ukimtimua itauma leo baada ya wiki unakuwa normal.which is it?make it or break it
do or die
Nikushukuru kwa ushauri huu, nitaufanyia kazi
 
Kama mnavyoona hapo chini, mimi huwa sipendi kumnafikia mtu, nmekuta hyo text kwenye simu ya mpenzi wangu, na hiyo namba naifahamu, ni ya jamaa fulani anatuuziaga Samaki(kibua) mara nyingi mahali nilikopanga, mpnz wangu huwa anakuja na anashinda hapo mara nyingi akinifanyia usafi e.t.c...sasa leo sijui imekuwaje nashika simu yake nakutana na hyo....ina maana alichukua namba ya muuza samaki na ameanza kumtoboa...anyways all is Well ila nimepanic kiasi fulani wakuu!!
217084f13cadea990706d8894ddbd51d.jpg

Kama huyu mwanamke yupo JF basi ataona na atang'oa mwenyewe maana hasira zangu nazijua mwenyewe, nikimuuliza na akikana tu nitamuumiza, bora nikae kimya aniache yeye
Ndiyo shida ya kuowa mwana Nzengo pole bhana tuendelee kujifunza [emoji4] [emoji4]
 
Kama mnavyoona hapo chini, mimi huwa sipendi kumnafikia mtu, nmekuta hyo text kwenye simu ya mpenzi wangu, na hiyo namba naifahamu, ni ya jamaa fulani anatuuziaga Samaki(kibua) mara nyingi mahali nilikopanga, mpnz wangu huwa anakuja na anashinda hapo mara nyingi akinifanyia usafi e.t.c...sasa leo sijui imekuwaje nashika simu yake nakutana na hyo....ina maana alichukua namba ya muuza samaki na ameanza kumtoboa...anyways all is Well ila nimepanic kiasi fulani wakuu!!
217084f13cadea990706d8894ddbd51d.jpg

Kama huyu mwanamke yupo JF basi ataona na atang'oa mwenyewe maana hasira zangu nazijua mwenyewe, nikimuuliza na akikana tu nitamuumiza, bora nikae kimya aniache yeye
Ukiona mkeo ananuka shombo za Samaki mwilini ujue kasha kuwa Samaki kwa mhuza Samaki [emoji34] [emoji35] [emoji91]
 
Hahaa mkuu umenkumbusha kpnd npo chuo kuna mama alikuwa anaita ivo yaan hadi mme wake akabid nae aanze kuniita ivo maana tulikuwa peace sn kwny discn. Kumbe son utata eeh
 
pumbafu ...iwe anatongozwa wherever ....kuna namna ya kipuuzi huyo mwanamke anayo mpaka muuza kibua amfate...tafuta mwingine Son ameshamaliza na vibua vyake
 
kwa hiyo huwa unapikiwa vibua?sasa unakijua kisa cha mpemba ndio hiki. mkuu kula vibua we nyumbani usiache matumizi utakuta vibua.
 
SON njoo ulimalize balaa lako hukuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnachukua wanawake hata kuandika hawajui,mrudishe darasani kisha muachie muuza samaki
 
Huyu mpenzi wako ni mwalimu kumbeeeee [emoji23] [emoji1]
 
Demu mwenyewe mbona anaandika kama anabembea.Piga chini huyo,inaonekana hata upstairs zero kabisa...
 
Mwandiko wa demu wako na muuza samaki inaonyesha akili zao ni level sawa waache
 
Labda anapaka "girisi"
Anapambana we ushibe
[HASHTAG]#kamauchebe[/HASHTAG]
 
Labda anapaka "girisi"
Anapambana we ushibe
[HASHTAG]#kamauchebe[/HASHTAG]
Hamna mkuu, girisi mimi nampakishaga kwenye vyuma vyake sana tu, ametokea familia ya dhiki kiasi(no offence) kwa hiyo huwa namhudumia shida zake sana tu na kwao pia nawabeba kiasi fulani!!!
Mimi ni muajiriwa wa kawaida tu vile vipesa vya magauni na outings havinipigi chenga, na ka-baby walker kangu kapo ka kumbeba, ila itakuwa tu tabia yake ndo hii coz nilimpenda jinsi alivyo na shule hajaenda kivile, nilidhani naandaa mke kumbe nataka kuolea watu wengine

Inaumiza kiasi fulani wakuu! Naona kama nakuwa na relationships zinazofail mara kwa mara...maybe kuna something wrong with me
 
Back
Top Bottom