KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,049
- 40,564
Mapenzi siku hizi yamejaa usaliti kwa kuwa ni asilimia chache sana wanaokutana na machaguo halisi ya mioyo yao......
Katika hali ngumu kama hii ya maisha ni rahisi mtu kumrubuni na kuwa naye kingono.....
Na mambo huharibikia pale anapokutana na chaguo halisi la moyo wake.......
MAPENZI YANA SIRI NZITO SANA.....
Katika hali ngumu kama hii ya maisha ni rahisi mtu kumrubuni na kuwa naye kingono.....
Na mambo huharibikia pale anapokutana na chaguo halisi la moyo wake.......
MAPENZI YANA SIRI NZITO SANA.....