Jingine tena....usaliti wa mpenzi wangu

Jingine tena....usaliti wa mpenzi wangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ivi muuza samaki anamaanisha nin kwa "Son" nyinginyingi
Afu kama hajielewi vile
Mlie tyming mke wako
Akiliwa na huyo jamaa ndo umshangae na umfukuze, mana mwanamke pia atajishusha hadhi
Sema anaweza akamla afu dem akakudharau na kukukimbia kabisa(hcho ndo kinauma)
 
Pole sana mkuu, hawa viumbe akili zao wanajua mwenyewe.. dawa kubwa mpotezee tu
 
Ndo hivyo mzee...
Mahusiano ni illusion.

Hongera kwa kukutana na ukweli.
 
Demu mwenyewe hajui kuandika hebu achana Naye huyo ila son ana mambo !!! Hahaa daaah
 
Ona Mkuu... Fanya ivi ..Deal na huyo muuza samaki deal..nademu asipokuelewa Achana nako.kabisaaa.!!.
 
hahaaa achana na mademu wakiswaz mkuu watakupasua kichwa huwa hawana miko
 
hiyo simu ni Samsung mmiliki wa simu chati zake huwa za blue upande wa kulia kwa maelezo yako hiyo simu ni ya demu wako na kwa hiyo screen short sijaona sehemu alipocheat lbda uweke screenshort zaidi
msichana kujibu NAKUPENDA PIA haimaanishi unavyowaza vibaya sis wanaume wasumbufu na wasichana hutujibu kwa busara sana vilevile umesema muuza samaki huwa anawaletea vibua na demu wako huja mara kwa mara sijaona shida kuwa na namba yake
ama sivyo weka screenshot zaidi
wakati mwingne huwa tunajipa presha tu wenyewe
 
Back
Top Bottom