Usiache kuomba ulinzi wa Mwenyezi MUNGUBujibuji asante sana kwa elimu mm ni muhanga wa majinamizi kwa kweli yanatesa kinomanoma yaani.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mida ya wangaAsee hii story unaletaa mida hii yaKulala kweli mbona hujatutendea haki bwana
Pole sana mtaniAisee mkuu serious hii hali ilishanitokea...mikono na miguu havifanyi kazi kwa muda, nakabwa naishia kutoa sauti tu
OkPia usile mlo mzito kabla ya kulala.
Na kama ni mnywaji wa pombe au mraibu wa madawa ya kulevya unayejaribu kuacha majinamizi ni sehemu ya withdrawal symptoms.
Halafu nyuma kuna moja linapiga chabo
Mida yao hii mkuu, utapigwa loba ya misumari shauri yakoHalafu nyuma kuna moja linapiga chabo
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Kulala Chali nadhani ni watu wengi inawatokea.Rafiki yangu aliniambia eti ukilala Chali damu inatoka kwenye ubongo na kurudi nyuma ndipo unahisi kukabwa.Umenichekesha na kutingishwa una tatizo kama langu na mm huwa naomba mtu aje anitingishe!Kama ni mchana unasikia watu wanaongea unawaita waje kukutingisha hawasikii!Mimi kila nikilala chali hata nusu saa tu lazima io hali inikute, natamani kue n mtu anitingishe, in short imefanya niache kulala chali maana unaweza kudhani popobawa kaja kupiga story
Aliko Dangote
Ukilala Chali ubongo unaishiwa damu.damu inarudi kwenye kisogo....Hii huwa inanitesa sana, nikilala chali lazima niote vitu vya ajabuajabu.
Kisogoni hamna ubongo?Ukilala Chali ubongo unaishiwa damu.damu inarudi kwenye kisogo....
Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
Mara ya kwanza mkuu kupatwa na hio hali nilihisi nataka kuaga dunia, niligopa sana nilivorudi kwenye hali ya kawaida, yalipigwa maombi ya kufa mtuKulala Chali nadhani ni watu wengi inawatokea.Rafiki yangu aliniambia eti ukilala Chali damu inatoka kwenye ubongo na kurudi nyuma ndipo unahisi kukabwa.Umenichekesha na kutingishwa una tatizo kama langu na mm huwa naomba mtu aje anitingishe!Kama ni mchana unasikia watu wanaongea unawaita waje kukutingisha hawasikii!
Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
Sijui mm si mtaalam eneo hilo.Niliambiwa hivyoKisogoni hamna ubongo?
OkSijui mm si mtaalam eneo hilo.Niliambiwa hivyo
Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
Uchawi ni mzigo