Jinamizi limenikaba mara tatu usiku huu....!

Jinamizi limenikaba mara tatu usiku huu....!

wakati mimi mwenzako leo nimeota nipo dubai nakula raha wewe unakabwa teh teh world is not fair at all
 
Ninaogopa kulala, bora nikeshe...
Hebu nisaidieni dawa ya kuyakabili haya MADUBWANA....

mmmh ulivyotoka kule ndo yakaanza kukukaba teh teh teh au ulikuwa unaota :smokin::smokin:ngoja ninyamaze nisijesutwa mie.................
 
Pole bhana.... Mi hayo mambo ilikuwa wakati namiaka 6-8 tu.... Tangu hapo kwisha... Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Kama uliongea na mke wa mtu ahirisha mpango... otherwise muulize Bishanga...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ninaogopa kulala, bora nikeshe...
Hebu nisaidieni dawa ya kuyakabili haya MADUBWANA....
MKUU dawa ni hizi hapa very simple-1.unapokula tonge au fundo la mwisho la chakula katafunie chooni na umeze 2.weka panga au kisu chini ya mto au godoro unapolala.hizi dawa are working 100%.
 
Back
Top Bottom