Jina Muhammad laenziwa Uingereza

Status
Not open for further replies.

utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,783
7,657
1417445943317.jpg
Utafiti nchini Uingereza Umeonyesha kuwa mwaka huu jina Muhammad ndilo limekuwa maarufu sana linalopewa watoto wavulana na kusukuma jina la Oliver hadi katika nafasi ya pili.

Utafiti huo unaonyesha kuwa wazazi wengi wamekuwa wakiwapa wanao majina ya kiarabu, huku jina la kike Maryam likipendwa sana.

Ni la kwanza kati ya majina 100 yanayopendwa na wazazi kuwapa waoto wao wasichana. Jina Nur limeshika nafasi ya pili miongoni mwa watoto wa kike.

Kwa watoto wasichana, jina Maryam ndilo linapendwa sana

Majina mengine Omar, Ali na Ibrahim ni miongoni mwa mjina 100 yanayopendwa na kupewa watoto wavulana.

Majina yaliyokuwa yakienziwa sana zamani ya kiingezera na yanayohusishwa na familia ya kifalme, yote yameshuka ngazi na wala hayapendwi sana.
1417445966434.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom