The Gworl
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 6,019
- 18,290
Swa
š¤£š¤£Swai mshenzi hana shida Lile jina lake la Glorian ndio lilichanganya,š¤£š¤£ general nyoni kila asubuhi tu akifika anaagiza supu kwa tupokigwe,kutoa mteru kwanza,š¤£š¤£ itakua yule mkuu wake ndio mfumo mzima ile sio Bahati mbaya.Af swai hanaga baya yule mzee duh kwahy waka kata utepe š general nyoni alikutwa na makosa kosa mengi ndio kuja kufumbuka na ilo ya pesa ya elimu