Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 5,527
- 7,121
Leo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum?
Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend tu, itakuwa Breaking News itakayowafanya malaika wote washangilie.
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu.”
Mnaosema mada zangu ni ndefu, hamuwezi kusoma mpaka mwisho, semeni sasa: na hii mmeshindwa kuisoma mpaka mwisho au huwa ni geresha tu 🙂