Jina lako haiba yako

Za masiku ndugu yangu!
Kuna kitu kina itwa moto!
Muweke huko utamkunja utakavyo!
 
Nzuri jamani... Hapana moto hauharibu bali unaweza kubadili umbo.... Unamyeyusha kisha unamtengeneza sululu au jambia au kitanda... Lakini maji ni sumu.. Utaishia kutu
Au kumgawa, kumkatakata vipande na kuanza upya!
Maji ni kiboko!
Baada ya Gharka kuu walibaki watu nane!
8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…