Kamari kuu ilifanya mchujo wa kienyeji tu wengi wakekatwa kiaajabu ajabu tu , kikaa kilikaa kikiwa na majina machache badala ya majina 38 ina maana Matokeo yamepangwa nje ya Uwanja lile Goli la mkono la Nape hilo sasa linakuja .
Hii unamaanisha utaratibu umebaki tuu UKAWA kwa sasa. Chama cha Mapinduzi hakina utaratibu tena? Nchi inaongozwa na watu wasio na utaratibu? Nchi inaongozwa bila utaratibu? Tafakari!!!Tangu mwanzo ukiukaji wa taratibu ulikuwapo. Matumizi ya fedha yaliokithiri kwenye kutangaza nia tu. Kuanza kampeni kabla ya muda. Wajumbe wa halmashauri kuu kuwa wapiga debe wa mtia nia
Watia nia kuchochea wananchi. Maadam mlinyamazia ukiukwaji wa taratibu uliofanywa na mnaempenda, msilalamike tena
Siyo kazi ya JK kutangaza majina, Nape keshasema watayatangaza saa 4! Bado muda kidogo vumulia.Soma twitter ya Rais wako Hapo unataka yatangazwe wapi?
Siyo kazi ya JK kutangaza majina, Nape keshasema watayatangaza saa 4! Bado muda kidogo vumulia.