Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,072
Huwezi kuamini hicho ndicho kinachoendelea sasa ndani ya CCM, Kambi ya Lowassa iko kwenye mikakati mingi mizito na vikao vizito kuhakikisha jina la Lowassa linarudishwa katika kinyang'anyiro tena.
Tayari Majina matano ya makada wa CCM wanaopambana kugombea urais kwa tiketi ya CCM yameshapitishwa na Kamati kuu lakini mpaka sasa CCM imekataa kata kata kuyatangaza rasmi majina hayo na yatatolewa ndani ya kikao cha Halmashauri kuu leo saa nne asubuhi ili kupigiwa kura na wajumbe ili yabaki majina matatu.
Wadadisi wa siasa za CCM wanasema Rais Kikwete ni mwoga sana, na anapima upepo unakwendaje, hivyo akiona mambo shwari orodha itabaki vile vile na kama akihisi mambo huenda yakamwendea Kombo tusishangae jina la Lowassa likirudishwa tena.