Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Ni maua ambayo mche wake una majani yafananayo kwa mbaali na majani ya mgomba na unazaa vimatunda vodogo vyenye mbegu nyeusi zinazofanana na ndude za tasbihi. Maua na miche yake ni hii hapa chini.