Jina la Israel na maana yake

Kwa hiyo Musli wakiongea na kuandika vitabu vyao other than Quran ni Uongo? maana hata hiyo Quran ni Hadithi kutoka kwa furani baada ya furan yaani haina mwenyewe Msomi Hafs anasadikiwa alikuwa ni Muongo na ndie mmechukua Quran yake ndio maana Aya aliyoshushiwa Mudy ya kwanza imewekwa sijui ya saba na surah zimechanganywa mno uuombaji wa uongo Allah aya moja inasema alianza kuumba Mbingu na aya nyingine anasema alianza kuumba ardhi n.k kiufupi ni aya za kutungwa na za kukopi aya za dini zingine na kuzibadilisha zionekane tofauti na ndipo vixchekesho vimekuwa ndani ya Quran ya Allah..

Tuje kwenye Aya zako kutoka kwenye kitabu cha kichekesho Quran.
قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ ( 1 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 1
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

Katika Tafrisi ya English - Say, ˹O Prophet,˺ “He is Allah—One ˹and Indivisible˺;
Hapo ni Mmoja na Asiye onekana Kichekesho ni kuwa almost Quran yote anatumia wingi wake SISI (We)
Aya ya 68:42 inasema Allah ana Mguu aonekani kivipi? Allah ni Physical being.
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍۢ وَيُدْعَوْنَ إِلَى ٱلسُّجُودِ فَلَا يَسْتَطِيعُ
Siku itakapo funuliwa mguu wa Allah na wakaitwa kusujudu, lakini hawawezi. ونَ ٤٢
Even Mikono anayo na Adam alipokuwa anaumbwa alimuambia Allah nimalizie kuniumba kabla ya Jua kuzama... hahahaha Allah alikuwa very Slowly hadi Adam aseme. na aliopuliziwa roho akapiga chaya and akasema Alhamdulillah -- kwa kiarabu hahaha Adam aliongea Arabic

اللَّهُ الصَّمَدُ ( 2 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 2
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

Tafuta Tafsiri sahihi ili utamke kwa Kiswahili ueleweke na ukubalike na sio kudanganya watu.. Tafrisi from English Allah—the Sustainer ˹needed by all
Yaani Mtegemewa wa wote na katika Sahihi wanasema ni Mungu mmoja na haitaji utegemezi wowote ni uongo uliopitiliza kwani Allah tu kusema Sisi tumemuumba Binadamu tayari hapo hakuwa pekee tena anaonesha tu kuwa amedandia kazi ya ya kuumba ambaye aliumba ni NENO ambayue ni Jesus.
Kam Sio tegemezi basi kiti chake cha enzi angekuwa anakibeba mwenyewe na sio Malaika nane huku yeye akiwa juu yake Chapter 40:7

لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ( 3 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 3
Hakuzaa wala hakuzaliwa. Even Adam ,Hakuzaliwa and pia Mama Theresa wa India hakuzaa pia, n.k haya ndio maswali ya kiislam islam na majibu ya kiislam nakupa.. mjione kuwa Muslim mna maswali ya kijinga badilikeni

وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ( 4 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 4
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. Hii ya Kufanana ni kwa Muslims only but sisi non-Muslim tunaamini tunafanana nae kwani alisema hivyo tumeumbwa kwa Mfano wake.

Mwisho Koran na Muslim ni fabrication so Mambo mengine yanaishia hewani tu
Mimi nilidhani na ongea na mtu na akili kumbe huna kitu kichwani.

Mfalme wa nchi anapotoa decree huwa anasema I am or We?

dogo we Huna elimu yoyote bibilia huijui wala huifahamu Qur'an, huiwezi tafsiri wewe kizungu unavyo taka wewe wako watu walisha tafsiri Qur'an kwa kizungu wana elimu kuliko wewe, na huta iweza sababu Qur'an ni level Ingine kabisa.

Kwani nani anaye kudanganyeni Yeshua ni Mungu haha Yeshua ni Yesu.

Pili Yesu kwa nini anaitwa son of Mary, mnapo refer son of God ni mana yake ni kama hivi The term "son of God" is used in the Hebrew Bible as another way to refer to humans who have a special relationship with God. In Exodus, the nation of Israel is called God's firstborn son. Solomon is also called "son of God". Angels, just and pious men, and the kings of Israel are all called "sons of God."

Umeona we dogo wacha kuchanganya utumbo mkasema maini 😄

Ukristo ni dini haikuletwa na Yesu ni dini ililetwa na Paulo nipe wapi bibilia yenu inasema Yesu alileta ukristo.
 
ufake? Mimi siwezi kuwa fake hata siku moja we tuambie kwenye hio hadithi wapi Mtume kasema alimuona Mungu? Nyie ndio wale wababaishaji ukweli kuna tofauti kuambiwa na kuona una fahamu dogo?

Kwa hio Mussa aliongea live na Mungu alimuona? Tukiwambia hakuna binadamu atamuona Mungu afu akaishi mnatuletea ujinga eti Yesu ni Mungu

Nyie wenyewe bibilia zenu zinajisuta ziko zinasema hakuna binadamu kamuona Mungu akaishi sa Yesu wangapi walimuona mbona waliishi hapo unapata picture halisi Yesu ni binadamu tu wa kawaida kama hana baba ndio kawa Mungu basi Adam angekuwa Mungu mkubwa kuliko Yesu sababu hana baba wala mama.

Nakuliza Yesu anamuita nani Maryam? na Maryam anaumita nani Yesu
Kaka, dini zimefunga sana watu ... Ni sawa na miaka ya baadae mtu alete hadithi za sadiki na chitemo Kwa interest zake Ili kufunga watu
 
Kwenye biblia takatifu kitabu cha Mungu hakuna haya maneno meengi uliyoandika ila labda kwenye quran kitabu cha shetani kilichokuja miaka mingi sana baada ya biblia takatifu kuwapo. shetan baada ya kuona Mungu kaleta muongozo ambao ni mwanga wa kumkomboa mwanadamu ndipo akaleta quran kitabu cha giza totoro kwa kumtumia mohamed ambaye ni uzao wa Ishmael mtoto wa mfanyakazi wa ndani wa Ibrahimu.
Hebu nipe andiko kwenye bibilia inayo sema bibilia ni kitabu cha Mungu? Au kaja nacho Yesu? Afu nipe wapi Yesu kasema ukristo ni dini au wapi Yesu kasema kwa kauli yake niabuduni mimi ni Mungu.

Hicho kitabu cha Shetani anaitwa Paulo 😄

Qur'an inajitangaza kabisa kuwa ni kitabu cha Mungu tena hakina shaka ndani yake na Uislam ndio dini ambayo karidhika nayo hakubali dini zozote zaidi ya Uislam
 
😄 Wewe unachekesha sana una sema Mungu ni muweza wa kila kitu sa ajabu iko wapi Mtume Muhammad kapelekwa mbinguni? Huoni kama unashaka na hilo jambo? Kwa hio Mungu hawezi kumpaisha Mtume mbinguni bila kuonana naye?jibu hapo au lazima amuone

Tukirudi kwa Yesu hakuna sehemu Yesu anawambia hakuna binadamu kawahi muona Mungu? Kwa hio Yesu anajisuta kabisa yeye si Mungu.

Tukirudi kwenye point ingine Mungu anasema Yeye ni Mfalme wa Falme yani ajishushe cheo ili aonekane mtoto kweli nyie vichaa.

Mungu ajivue utukufu wake aingie tumboni kwa Mariam ili ajizae? Kwa nini asishuke toka mbinguni direct watu wamuone kama alitaka kuja kuishi na binadamu kuliko kupitia kwenye tumbo la Maryam, au hana uwezo huo mpa apitie tumboni kwa Maryam.

Mimi sijawahi msikia Maryam kamuita Yesu hata siku moja Mungu hebu tupe dalili zako.

Maryam alikuwa anamuita Yesu mtoto.

Mungu anamuita Yesu mtoto wa Maryam.

Kaimbe tarabu kanisani wacha ujinga usio na hoja.
Mbona unazunguka kisha unatoa majibu ya Mungu anaweza kila kitu hata kuingia tumboni n hii ilishatolewa taarifa kwa isaya kuwa Mungu atakuja kuishi nanyi yaani Emmanuel.. so ndio ufahamu kuanzia leo.. Mungu wa Israel ni muweza so akiwa katika Umbo la Binadamu anajiita kama alivyojiita. Na akiwa Mbonguni anajiita Mungu yes. Sasa issue ya Mudy ni uongo na haina ushahidi hata wa mtu mmoja even Mkewe Aisha alisema Mwili ya Mudy haukutoka chumbani
. Ndio wakajua njemba ilirogwa na Shetani lilimwingilia "KITI" Kuran imejaa Aya za shetani.. taarabu nyie ndio mnaomba na tena Mudy aliwakataza kuimba
 
Mimi nilidhani na ongea na mtu na akili kumbe huna kitu kichwani.

Mfalme wa nchi anapotoa decree huwa anasema I am or We?

dogo we Huna elimu yoyote bibilia huijui wala huifahamu Qur'an, huiwezi tafsiri wewe kizungu unavyo taka wewe wako watu walisha tafsiri Qur'an kwa kizungu wana elimu kuliko wewe, na huta iweza sababu Qur'an ni level Ingine kabisa.

Kwani nani anaye kudanganyeni Yeshua ni Mungu haha Yeshua ni Yesu.

Pili Yesu kwa nini anaitwa son of Mary, mnapo refer son of God ni mana yake ni kama hivi The term "son of God" is used in the Hebrew Bible as another way to refer to humans who have a special relationship with God. In Exodus, the nation of Israel is called God's firstborn son. Solomon is also called "son of God". Angels, just and pious men, and the kings of Israel are all called "sons of God."

Umeona we dogo wacha kuchanganya utumbo mkasema maini 😄

Ukristo ni dini haikuletwa na Yesu ni dini ililetwa na Paulo nipe wapi bibilia yenu inasema Yesu alileta ukristo.
Upumbavu unakusumbua sababu ya u abdul.. nyinyi kama mna akiili si mliambiwa muwaite watu kwa ubini wa baba zao? Why Yesu mnamuita kwa Ubini wa Mama yake? Yesu alisema Baba yake yupo mbinguni ukimuona yete ni umemuona baba yake yeye ndie I am who I am.. hebu fuateni Kuran inavyotaka.. Kuran inasema Yesu ni Neno na Roho ambazo hazijaumbwa.. so Yesu ni top level. God.

Usivyo na Akili tafsiri ya Dini wadhani ni uislam Dini maana yake ni Njia ya ukweli.. na Yesu alisema yeye ni Njia ndio maana tuna mfuata na sio akili zako za makopo hujui kitu.. Massiah ni Yesu.. kama Paulo hadi Kuran imemtaja kama ni Messenger wa Yesu aliyetumwa pia.. kwa kiarabu anaitwa Bulus kasome Quran.. muislam fake wewe...
 
Jina la Israel ni jina la nabii YAKUB Baba take YUSUF yeye ndio alieza watoto 12 na jina hilo alipewa na ALLAH (swt) na wale watoto wake ndio wanaitwa Wana wa Israel baada ya kuishi misri myaka mingi ndipo MUSSA alikuja kuwarudisha falestina .ndio sikatai upo Sahihi mkuu Israeil mana yake ni ushindi ,Ila hawa wanaojiita WA Israeil WA sasa sio WA Israeil ni WA zauun .ki uhalisisia hawa ni wazungu walio na asili ya europ ni wa pagan hawana dini walikuwa WA kiabudu masanamu na mashetani kiufupi ni washirikina walio pindukia hawana ustaraabu hata kidogo Ila Wana uchuu WA madaraka na Hao ndio wanao ipoteza dunia ya Leo Ila Kwa kivuli cha dini .na haya nayo kwambia wamejipanga kisawa Sawa wao wanamsubir masihi dajal a.k.a. antichrist na ukijaribu kufatilia history ya alama za Siku za mwisho ni kwamba dajal atakuja lakini atakuta anawafwasi wengi wanao mfanyia KAZI .sio tu waarabu wenye wako wanapatwa na haya maswahibu mazito ila hii itafika kwa ulimwengu wote.hapa nachotaka kusema tuache ushabiki wa kijinga tuuangalie mambo kwa jicho la 3 .nadhani wewe ni shahidi na mambo yanayo endelea ndani ya kanisa kuu duniani roman catholic na sasa wameweza kupandikiza hata saudi Arabia leo hii mwana wa mfalme abachokifanya ndani ya ardhi takatifu saudi penye kitofu cha dini ya kislam ni aibu sana haijawahi kutokea ila kwa sasa ni aibu sana ndugu zangu .kiufupi hawa jama tunaona kama ni super power ila wana ajenda kubwa sana na haya mambo unayona SAsa sio bahati mbaya Bali watu walikaa wakapanga ulikuwa Siri n'a SAsa mambo yapo hadharani ,back in the days kuna documantary moja hivi nili bahatika kuangalia ulikuwa na masaah kama 5 ila jama alikuwa anaongea vitu mpaka niliogopa JAMA anasema nguvu ya hawa majama hakuna anaeweza kuwaziwia ila mungu peke yake aise .kwa SAsa hakuna Alie kuwa Salama tuogope Siku ambayo ukweli utazungumzwa hadharani n'a Siku ya ardhi itatowa ushahidi hakuna atakae ishi milele sote tutakufa ba kwa mola wetu sote tutarejea .
Uongo mtupu
 
Upimbavu unakusumbua sababu ya u abdul.. nyinyi kama mna akiili si mliambiwa mutate watu kwa ubini wa baba zao? Why Yesu mnamuita kwa Ubini wa Mama yake? Yesu alisema Baba yake yupo mbinguni ukimuona yete ni umemuona baba yake yeye ndie I am who I am.. hebu fuateni Kuran inavyotaka.. Kuran inasema Yesu ni Neno na Roho ambazo hazijaumbwa.. so Yesu ni top level. God.

Usivyo na Akili tafsiri ya Dini wadhani ni uislam Dini maana yake ni Njia ya ukweli.. na Yesu alisema yeye ni Njia ndio maana tuna mfuata na sio akili zako za makopo hujui kitu.. Massiah ni Yesu.. kama Paulo hadi Kuran imemtaja kama ni Messenger wa Yesu aliyetumwa pia.. kwa kiarabu anaitwa Bulus kasome Quran.. muislam fake wewe...
We kwanza jibu swali kama Mungu mnasema ni baba wa Yesu kwani wapi alimuoa Mariam na harusi ilifanyika wapi? We ulihudhuria hio harusi? We mfano jirani yako azae hujawahi kuona kaolewa yule mtoto wake utamuita si mtoto wa haramu? Qur'an haikumuita Yesu mtoto wa haramu sababu imejua kazaliwa kimaujiza hana baba ulitaka Qur'an izuwe uwongo iseme ana baba? Imesema ni mtoto wa Maryam sababu kazaliwa bila baba.

Sa we tuambie wapi kwenye bibilia zenu zinasema Mungu alimuoa Maryam?
 
Upimbavu unakusumbua sababu ya u abdul.. nyinyi kama mna akiili si mliambiwa mutate watu kwa ubini wa baba zao? Why Yesu mnamuita kwa Ubini wa Mama yake? Yesu alisema Baba yake yupo mbinguni ukimuona yete ni umemuona baba yake yeye ndie I am who I am.. hebu fuateni Kuran inavyotaka.. Kuran inasema Yesu ni Neno na Roho ambazo hazijaumbwa.. so Yesu ni top level. God.

Usivyo na Akili tafsiri ya Dini wadhani ni uislam Dini maana yake ni Njia ya ukweli.. na Yesu alisema yeye ni Njia ndio maana tuna mfuata na sio akili zako za makopo hujui kitu.. Massiah ni Yesu.. kama Paulo hadi Kuran imemtaja kama ni Messenger wa Yesu aliyetumwa pia.. kwa kiarabu anaitwa Bulus kasome Quran.. muislam fake wewe...
Uwezo wa Mungu si wakujibadilisha dogo awe kiumbe alicho kiumba hana shida hio.

Mungu hafananiswhi na kitu alicho kiumbe ukimfananisha na binadamu utakuwa umemdhalilisha sana.

We hivi unajua kama Mungu akisinzia tu seconds basi Mbinguu na ardhi zina crushed sa Yesu alipokuwa duniani si alikuwa anapiga usingizi ? Au nasema uwongo.

Nyie wakristo mnao amini Mungu anajibadilisha eleweni wazi Mungu si fake, hawezi kujifake hata siku moja, kapimeni akili zenu vizuri.
 
Wanakuja wakristo na ujinga eti mshindi alimshinda nani? Ukiwasikia wakristo watakupoteza eti alipigana na Mungu 😄 Afu akamshinda akamshika mpa asubuhi afu ndio Mungu akampa jina Israel, eti sababu alimshinda 😄 bibilia zenu noma kweli.
Sio suala la wakirsto bali ni suala maanandiko kaka!
Biblia ndio inatuambia hivyo., sasa wewe unataqka tufuate hicho kitabu chako kinachotupoteza?
 
We kwanza jibu swali kama Mungu mnasema ni baba wa Yesu kwani wapi alimuoa Mariam na harusi ilifanyika wapi?
Yesu mwenyewe ndie alisema Baba yake yupo Mbinguni...na alitufundisha kusali tuombe kwa Baba yetu aliye mbinguni.. even wewe unatakiwa kusali hivyo.. Kuan Sura Imran 3:50

Katika uislam tokea lini mnaamini Harusi? kwenye uislam kuna Nikah maana yake ruksa tu ya kusex na mwanamke Ndio tafsiri ya Nikah. so punguza uislam fake maana hujui unasimamia wapi najua umechanganyikiwa hujui ukae wapi kwenye ukriso au Utumwa wa Allah.

We ulihudhuria hio harusi? We mfano jirani yako azae hujawahi kuona kaolewa yule mtoto wake utamuita si mtoto wa haramu?
Nadhani watu wa kitabu kisomo chao hakijakuingia vizuri.. jinsi Yesu alivyokuja Duniani... Isaya alitoa utabiri kabisa atakuja Mungu muishi nae yaani Emmanuel. And muda ulipokariabia alikuja Malaika akamuambia Mary utazaa mtoto na utamuita Yashua ambaye ni Yesu... hivyo ni taratibu zilifanyika mean Alikuwepo before na ndio alimua kuja kwa njia hiyo.
Qur'an haikumuita Yesu mtoto wa haramu sababu imejua kazaliwa kimaujiza hana baba ulitaka Qur'an izuwe uwongo iseme ana baba? Imesema ni mtoto wa Maryam sababu kazaliwa bila baba.

Sa we tuambie wapi kwenye bibilia zenu zinasema Mungu alimuoa Maryam?
Najua umeuliza swali la Kipunda ambalo waislam fake wanauliza sana kuonesha kuwa akili zao zilivyo za kijinga. na huwa misikitini huulizana alafu waumini wanacheka.. sababu ni swali la kijinga... kwenye Kuran Allah anasema Jibrili alitoa mvivio ndani ya kanzu yake akamimina kwenye tumbo la Mariam akapata mtoto.

Kuran Sura An-Nisa 4:171 Inasema shika haya Maneno uelewe

O People of the Scripture, do not commit excess in your religion or say about Allah except the truth. The Messiah, Jesus, the son of Mary, was but a messenger of Allah and His word which He directed to Mary and a soul from Him. So believe in Allah and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allah is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allah as Disposer of affairs.
1 God in human form
2 Neno direct from Allah
3 Roho yenyewe ya Allah

tuite ni Trinity au unasemaje ewe muislam fake.

Uislam unajichanganya pia Roho inasema imekuja direct and inasema pia ililetwa na Jibrili full contradictions

Mnasema nyie wenyewe Allah alianza kwanza kuumba Kalamu (pen) means NENO na Yesu ni Neno na katika Kuran nzima Only Yesu ndie aliumba ndege kutoka kwenye udongo so Yesu katika Kuran ni Muumbaji.. na Mtume wenu anasema Yesu ndie atakaye kuja kumuua Dajjal mpinga kristo anayefanana na Allah kasoro yake ana chongo tu. na Yesu ndie atatoa hukumu kwa watu wote siku ya kiama..
 
Ili uweze kusema imechakachuliwa lazima uwe na original

Embu tuwekee original
Kwa sababu Imani ya kiyahudi ni Imani ya kumpwekesha Mungu na Mungu huyo hafanani na chochote wakati bible inasema umbo la binaadam ni mfano wa Mungu, Mungu ni utatu,yesu ni mwana wa Mungu wakati wayahudi kwao Mungu hazai
 
Ili uweze kusema imechakachuliwa lazima uwe na original

Embu tuwekee original
Kwa sababu Imani ya kiyahudi ni Imani ya kumpwekesha Mungu na Mungu huyo hafanani na chochote wakati bible inasema umbo la binaadam ni mfano wa Mungu, Mungu ni utatu,yesu ni mwana wa Mungu wakati wayahudi kwao Mungu hazai
 
Uwezo wa Mungu si wakujibadilisha dogo awe kiumbe alicho kiumba hana shida hio.

Mungu hafananiswhi na kitu alicho kiumbe ukimfananisha na binadamu utakuwa umemdhalilisha sana.

We hivi unajua kama Mungu akisinzia tu seconds basi Mbinguu na ardhi zina crushed sa Yesu alipokuwa duniani si alikuwa anapiga usingizi ? Au nasema uwongo.

Nyie wakristo mnao amini Mungu anajibadilisha eleweni wazi Mungu si fake, hawezi kujifake hata siku moja, kapimeni akili zenu vizuri.
Tatizo la wabusu jiwe mnafananisha mungu wenu Allah na Mungu wa wakristo, jua Leo hawafanani ata kidogo

Allah ni physical being
Na Jehovah ni spirit
 
Hayo ma
Duniani kila jina lina maana. Hakuna jina lisilokuwa maana. Hata wewe jina lako lina maana yake, baya au Zuri

Kwa mfano, Adam maana yake ni udongo mwekundu
Hawa maana yake ni mama wa wanadamu wote
Malaika maana yake ni mjumbe wa Mungu.
Isaac maana yake ni kicheko.

Hata wewe jina lako lina maana yake

Kwa mifano michache hiyo, tunaweza pia kuona jina Israel

Jina Israel maana yake ni "mshindi" Yaani yeye ashindaye.
Majina ya watu au vitu ni kivuli cha uhalisia wa mtu au kitu

Sasa wa Israel kama taifa, wamelipa jina hilo taifa Lao. Hilo jina ni kivuli cha uhalisia wa hilo taifa. Jina hilo linatoa taswira ya uwezo wa hilo taifa.

Ukiangalia kwa juujuu aubkiushabiki unaweza usielewe hiki kitu lakini kama unaingia ndani kabisa unaweza kuelewa.

Kwanini taifa dogo kama Israel lina uwezo wa kushawishi mataifa
Makubwa kama India, USA, UK, Germany, Australia, Canada, France na wote wakaitikia. Jamaa wana kitu cha ziada. Jamaa wana uwezo wa ziada. Sio rahisi kama tunavyofikiri

Israel ni washindi. Waarabu wamegunduwa hilo Jambo ndiyo maana siku hizi hawahangaiki
taifa yote ya Kizungu uliyoyataja ni mataifa yaliyokuwa watumwa wa Dola ya Rumi ambao ndo wamiliki wa Dini ya Kikristo. Hivyo wanamsikiliza siyo kwa sababu Isreal ina nguvu au ushawishi. bali hisia za dini
 
Back
Top Bottom