Jina la Israel na maana yake

Jina la Israel na maana yake

Sio suala la wakirsto bali ni suala maanandiko kaka!
Biblia ndio inatuambia hivyo., sasa wewe unataqka tufuate hicho kitabu chako kinachotupoteza?
wapi bibilia inasema Yesu baba yake mzazi ni Mungu, hio ya kusema mtoto wa Mungu wengi tu bibilia imewasema watoto wa Mungu si kwa kukusudia Mungu ndio baba yao
 
Israel ni jina alilopewa yakobo baada ya kumtia ngwala,mabanzi,makwenzi Mungu,aliposhuka usiku wa manane duniani,ndipo Mungu akaamua kumbariki yakobo badala ya Esau chaguo lake la mwanzo,maana bila hivyo yakobo aliigoma kumuachia Mungu na palikua panapambazuka,Mungu akiogopa binaadam wasimuone,haya ni kwa mujibu wa biblia
Una akili timamu ?
 
Uwezo wa Mungu si wakujibadilisha dogo awe kiumbe alicho kiumba hana shida hio.
Ila anaweza kuja kwa Umbo lingine? Sahih Hadith ina sema

Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you. This is our place; (we will not follow you) till our Lord comes to us, and when our Lord comes to us, we will recognize Him.

Hahahahaha yaani Allah aliwatokea kwa Umbo tofauti na la Mwanzo wakamkataa wakimuita we ni Shetani tunatafuta hifadhi kwa Allah nadhani Allah aliwatokea kwa Umbo kutisha zaidi ya hili la mguu mmoja Quran 68:42
Mungu hafananiswhi na kitu alicho kiumbe ukimfananisha na binadamu utakuwa umemdhalilisha sana.
Sawa ila yeye anajifananisha mbona ana mikono Miwili yote ya Kulia Sunan an-nasa'i 5379
An Ugoko Quran 68:42
Ana Mguu mmoja = Sahih al Bukhari 4848

Pia kwa kusema yeye anawezaje kupata mtoto bila swahiba na akitaka kuwa na mtoto atapiga pumbu Malaika au wale mabikira aliowaandalia waislam maana anasema from us... and wanatuambia kila siku Allah ni mmoja kumbe ana jamii yake huko alipo ''i will choose from us'' Ahad not mean one maana yake ni one off yaani mmoja miongoni mwa
We hivi unajua kama Mungu akisinzia tu seconds basi Mbinguu na ardhi zina crushed
Naomba ref ya aya kusupport uongo wako huu ewe mtoto wa Allah ukishindwa Nyamaza. Allah hana Roho ni sanamu lini kwanza alikuwa hajalala? hakuwahi ongea na Mudy kumfikia kwake ni miaka elfu moja kurejea duniani inachukua miaka elfu moja tena tena kwa speed ya mwanga alafu eti koran imeshushwa kwa miaka sijui 23 punda nyie wadanganyifu.. Allah alisema aliwalaani Wayahudi kwa kuvunja Sabato yaani uovu wake alisababisha samaki wasionekane week days and Jumamosi sabath anaachia samaki wengi wayahudi wakashindwa vumilia wakavua siku ya sabato eti akawalaani na kuwageuza nguruwe na nyani na hizo laana zake hazijawahi fanya kazi na Sasa Israel ni Taifa kubwa lenye Nguvu na linawachapa waislam watumwa wa alaah litakavyo.. Muamsheni Allah kala sana.. Kwanza Allah is not exist
sa Yesu alipokuwa duniani si alikuwa anapiga usingizi ? Au nasema uwongo.
Yuse alikuja duniani kwa Umbo la Binadamu ndio Maana Mariam aliambiwa utapata Mimba na utamuita mtoto Yesu mean alishapanga mwenyewe iwe hivyo. so aliishi like other ila alionesha uungu wake even Waliomshambulia Mariam kwa kupata mtoto bila Mume Yesu alikuwa kabebwa akinyonya akaacha kunyonya akaongea Surat Maryam 18:19-30
Nyie wakristo mnao amini Mungu anajibadilisha eleweni wazi Mungu si fake, hawezi kujifake hata siku moja, kapimeni akili zenu vizuri.
Rah ya kudebate na Mjinga unampiga tu na Kuran yake iliyojaa aya za shetani

Umbo lingine la Allah Abu huraira apewe mingine mitano

81
To make the Heart Tender (Ar-Riqaq)

(52)
Chapter: As-Sirat is a bridge across the Hell.
(52)
باب الصِّرَاطُ جَسْرُ جَهَنَّمَ

Narrated Abu Huraira:
Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said, "Do you crowd and squeeze each other on looking at the sun when it is not hidden by clouds?" They replied, "No, Allah's Messenger (ﷺ)." He said, "Do you crowd and squeeze each other on looking at the moon when it is full and not hidden by clouds?" They replied, No, O Allah's Messenger (ﷺ)!" He said, "So you will see Him (your Lord) on the Day of Resurrection similarly Allah will gather all the people and say, 'Whoever used to worship anything should follow that thing. 'So, he who used to worship the sun, will follow it, and he who used to worship the moon will follow it, and he who used to worship false deities will follow them; and then only this nation (i.e., Muslims) will remain, including their hypocrites. Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you. This is our place; (we will not follow you) till our Lord comes to us, and when our Lord comes to us, we will recognize Him. Then Allah will come to then in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' and they will follow Him. Then a bridge will be laid over the (Hell) Fire." Allah's Messenger (ﷺ) added, "I will be the first to cross it. And the invocation of the Apostles on that Day, will be 'Allahumma Sallim, Sallim (O Allah, save us, save us!),' and over that bridge there will be hooks Similar to the thorns of As Sa'dan (a thorny tree). Didn't you see the thorns of As-Sa'dan?" The companions said, "Yes, O Allah's Messenger (ﷺ)." He added, "So
 
Jina la Israel ni jina la nabii YAKUB Baba take YUSUF yeye ndio alieza watoto 12 na jina hilo alipewa na ALLAH (swt) na wale watoto wake ndio wanaitwa Wana wa Israel baada ya kuishi misri myaka mingi ndipo MUSSA alikuja kuwarudisha falestina .ndio sikatai upo Sahihi mkuu Israeil mana yake ni ushindi ,Ila hawa wanaojiita WA Israeil WA sasa sio WA Israeil ni WA zauun .ki uhalisisia hawa ni wazungu walio na asili ya europ ni wa pagan hawana dini walikuwa WA kiabudu masanamu na mashetani kiufupi ni washirikina walio pindukia hawana ustaraabu hata kidogo Ila Wana uchuu WA madaraka na Hao ndio wanao ipoteza dunia ya Leo Ila Kwa kivuli cha dini .na haya nayo kwambia wamejipanga kisawa Sawa wao wanamsubir masihi dajal a.k.a. antichrist na ukijaribu kufatilia history ya alama za Siku za mwisho ni kwamba dajal atakuja lakini atakuta anawafwasi wengi wanao mfanyia KAZI .sio tu waarabu wenye wako wanapatwa na haya maswahibu mazito ila hii itafika kwa ulimwengu wote.hapa nachotaka kusema tuache ushabiki wa kijinga tuuangalie mambo kwa jicho la 3 .nadhani wewe ni shahidi na mambo yanayo endelea ndani ya kanisa kuu duniani roman catholic na sasa wameweza kupandikiza hata saudi Arabia leo hii mwana wa mfalme abachokifanya ndani ya ardhi takatifu saudi penye kitofu cha dini ya kislam ni aibu sana haijawahi kutokea ila kwa sasa ni aibu sana ndugu zangu .kiufupi hawa jama tunaona kama ni super power ila wana ajenda kubwa sana na haya mambo unayona SAsa sio bahati mbaya Bali watu walikaa wakapanga ulikuwa Siri n'a SAsa mambo yapo hadharani ,back in the days kuna documantary moja hivi nili bahatika kuangalia ulikuwa na masaah kama 5 ila jama alikuwa anaongea vitu mpaka niliogopa JAMA anasema nguvu ya hawa majama hakuna anaeweza kuwaziwia ila mungu peke yake aise .kwa SAsa hakuna Alie kuwa Salama tuogope Siku ambayo ukweli utazungumzwa hadharani n'a Siku ya ardhi itatowa ushahidi hakuna atakae ishi milele sote tutakufa ba kwa mola wetu sote tutarejea .
Acha urongo Mtumwa wa Allah wewe Kwenye Kuran hakuna sehemu inayomtaja Allah kampa Jina La Israel Yakub.. Quran ni kitabu cha wajinga kimeiba iba story huku na kule ndio maana hakiwezi elezea chochote kinakaeleweka.. Hakuna Muislam anayejua kitu kwa kufuata Quran who is Muhammad ? is the Son of Who? hakuna sababu Mohammad alijipa jina ambalo tafsiri yake ni Wakuabudiwa... Jina lake halisi ni Cathaan jina la kurithi la Mjomba wake kwa jina hilo mean Mohammad ni Mungu pia wa Waislam Shirki kila sehemu even Maneno ya Shahada yameandikwa kwenye kiti cha Allah.. Allah anasemaa waislam waswali mara Tatu Mohammed anawaambia waswali mara Tano hapo tu Mohammad anakuwa mkubwa zaidi ya Allah.
 
Wacha kuwadangan'ya watu eti Shujaa 😄

Israel ni Yakub bin Ishaq bin Ibrahim, amani iwe juu yao, na maana yake ni mja wa Mungu, kwa sababu “Isr” katika lugha yao maana yake ni mja, na “El” ni Mungu.

Ana majina mawili, :Israel ni jina la utani yani si orignal na lilivuma sana kwa sababu alikuwa Mchamungu na hata Mwenyezi alikuwa analirefer hilo jina.

Wanakuja wakristo na ujinga eti mshindi alimshinda nani? Ukiwasikia wakristo watakupoteza eti alipigana na Mungu 😄 Afu akamshinda akamshika mpa asubuhi afu ndio Mungu akampa jina Israel, eti sababu alimshinda 😄 bibilia zenu noma kweli.
Katika Uislam vipi Malaika Israel mtoa roho alipotumwa na Allah aitoe roho ya Nabii Mussa na alipoenda kuichukua roho alikula vitasa jebu hadi jicho moja likatoka.. Malaika Israel akarudi kwa Allah akilia na kumlaumu Allah kwa kuwa amemtuma kwa msaidizi wako asiyetaka kufa.. Basi Allah akalirejesha Jicho la Malaika vizuri. je Mussa kwa Uboxer wake wa wakati ule hakupigana na Allah? Wislam ujinga wenu mnao uleta huku hamjui kuwa mna boriti jichoni mwenu...
Yakoub[Israel] kumuona Mungu hajamuona na wala hata kuja muona, si Yeye si Yesu si Mussa si Ibrahim wala Mtume Muhammad hakuna wakumuona Mungu, Mwenyezi Mungu ni level ingine kabisa yeye anakuona lakini hakuna binadamu atakaye muona maishani kwake.

Nyie kaimbeni nyimbo kanisani afu mkalale ngojeni mkisha kufa ndio mtajua Yesu kama atawaokoeni 😄
Yesu ni Njia... Nyie mnajua kabisa mnaswali na Shetani Msikitini Allah ni Moon God ana apa kwa Nyota, Mnabusu Jiwe ambalo mnaamini linasamehe dhambi, Quran imejaa Aya za Shetani, mnafanya Shirki Mtaingia Jehanam.. hivi mlisema Mohammad alipoingiwa na Iblis alimsilimisha Iblis enh mbona zile aya bado mnamsema vibaya
 
wapi bibilia inasema Yesu baba yake mzazi ni Mungu, hio ya kusema mtoto wa Mungu wengi tu bibilia imewasema watoto wa Mungu si kwa kukusudia Mungu ndio baba yao
Kama wewe na ufake wako umeanza kuelewa Mtoto kwa Mungu.. napata shida kuelewa upo Dini gani maana hadi Allah anatoa Aya kusema hana Mtoto ni baada ya kusikia Yesu aliitwa Mwana wa Mungu.. so hongera zako umemzidi Allah kuelewa.. Darasani wewe umekuwa mbele ya Allah na Mtume wake.. even Zakir Naik hadi leo anasema Muslims hawaamini ile kuita Mtoto wa Mungu kwao maana yake ni mtoto wa Damu
 
Furahini Hamas kakubali masharti ya Israel
 
Kalenda ya kiislam Iko 1400+,inaanzia pale ambapo waislam walifukuzwa maka na kukimbilia Madina,ndiyo maana inaitwa hijria,Sasa Qur'an kuwa na miaka chini ya 1000 umetoa wapi!?..halafu Quran haikuchukua mistari kwenye biblia,biblia inasema yesu Mungu,yesu mwana wa Mungu,Mungu ni utatu,Mungu alipigana na yakobo akazidiwa Hadi kushindwa kupaa kurudi mbinguni, QUR'AN inasema Mungu hafanani na chochote,hakuzaa hakuzaliwa,biblia ni maelezo ya watu wakati QUR'AN ni maelezo ya Mungu,mtume akiambiwa sema uwaambie...pia,biblia ilikuwepo kabla yesu hajazaliwa,agano la kale ni vitabu vya kiyahudi vilivyochakachuliwa, bible imewekwa kwenye mfumo huu miaka 300ce,walichagua vitabu vya kuweka wakaacha vingine kwa sababu zao wanazojua wao,so Qur'an na biblia havifanani chochote
Mudy amechomoa maneno mengi kutoka Bible hadi wakina Yohana mkawita Yahya
 
Jina la Israel ni jina la nabii YAKUB Baba take YUSUF yeye ndio alieza watoto 12 na jina hilo alipewa na ALLAH (swt) na wale watoto wake ndio wanaitwa Wana wa Israel baada ya kuishi misri myaka mingi ndipo MUSSA alikuja kuwarudisha falestina .ndio sikatai upo Sahihi mkuu Israeil mana yake ni ushindi ,Ila hawa wanaojiita WA Israeil WA sasa sio WA Israeil ni WA zauun .ki uhalisisia hawa ni wazungu walio na asili ya europ ni wa pagan hawana dini walikuwa WA kiabudu masanamu na mashetani kiufupi ni washirikina walio pindukia hawana ustaraabu hata kidogo Ila Wana uchuu WA madaraka na Hao ndio wanao ipoteza dunia ya Leo Ila Kwa kivuli cha dini .na haya nayo kwambia wamejipanga kisawa Sawa wao wanamsubir masihi dajal a.k.a. antichrist na ukijaribu kufatilia history ya alama za Siku za mwisho ni kwamba dajal atakuja lakini atakuta anawafwasi wengi wanao mfanyia KAZI .sio tu waarabu wenye wako wanapatwa na haya maswahibu mazito ila hii itafika kwa ulimwengu wote.hapa nachotaka kusema tuache ushabiki wa kijinga tuuangalie mambo kwa jicho la 3 .nadhani wewe ni shahidi na mambo yanayo endelea ndani ya kanisa kuu duniani roman catholic na sasa wameweza kupandikiza hata saudi Arabia leo hii mwana wa mfalme abachokifanya ndani ya ardhi takatifu saudi penye kitofu cha dini ya kislam ni aibu sana haijawahi kutokea ila kwa sasa ni aibu sana ndugu zangu .kiufupi hawa jama tunaona kama ni super power ila wana ajenda kubwa sana na haya mambo unayona SAsa sio bahati mbaya Bali watu walikaa wakapanga ulikuwa Siri n'a SAsa mambo yapo hadharani ,back in the days kuna documantary moja hivi nili bahatika kuangalia ulikuwa na masaah kama 5 ila jama alikuwa anaongea vitu mpaka niliogopa JAMA anasema nguvu ya hawa majama hakuna anaeweza kuwaziwia ila mungu peke yake aise .kwa SAsa hakuna Alie kuwa Salama tuogope Siku ambayo ukweli utazungumzwa hadharani n'a Siku ya ardhi itatowa ushahidi hakuna atakae ishi milele sote tutakufa ba kwa mola wetu sote tutarejea .
Shekh madrasa hawajakufundisha kupangilia vizuri uandishi? Pangilia maneno yako vizuri Ostadh.
 
Kama wewe na ufake wako umeanza kuelewa Mtoto kwa Mungu.. napata shida kuelewa upo Dini gani maana hadi Allah anatoa Aya kusema hana Mtoto ni baada ya kusikia Yesu aliitwa Mwana wa Mungu.. so hongera zako umemzidi Allah kuelewa.. Darasani wewe umekuwa mbele ya Allah na Mtume wake.. even Zakir Naik hadi leo anasema Muslims hawaamini ile kuita Mtoto wa Mungu kwao maana yake ni mtoto wa Damu

View: https://youtube.com/shorts/yATytHLiXpI?si=EfM25rwJ8S8lN9zm
 
Katika Uislam vipi Malaika Israel mtoa roho alipotumwa na Allah aitoe roho ya Nabii Mussa na alipoenda kuichukua roho alikula vitasa jebu hadi jicho moja likatoka.. Malaika Israel akarudi kwa Allah akilia na kumlaumu Allah kwa kuwa amemtuma kwa msaidizi wako asiyetaka kufa.. Basi Allah akalirejesha Jicho la Malaika vizuri. je Mussa kwa Uboxer wake wa wakati ule hakupigana na Allah? Wislam ujinga wenu mnao uleta huku hamjui kuwa mna boriti jichoni mwenu
We kweli una matatizo ya akili hivi Malaika kawa Mungu?

Yesu ni Njia... Nyie mnajua kabisa mnaswali na Shetani Msikitini Allah ni Moon God ana apa kwa Nyota, Mnabusu Jiwe ambalo mnaamini linasamehe dhambi, Quran imejaa Aya za Shetani, mnafanya Shirki Mtaingia Jehanam.. hivi mlisema Mohammad alipoingiwa na Iblis alimsilimisha Iblis enh mbona zile aya bado mnamsema vibaya
Yesu, Ibrahim, Mussa, Muhammad wote ni njia za kwenda peponi walileta ujumbe wa Mungu
 
Ila anaweza kuja kwa Umbo lingine? Sahih Hadith ina sema

Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you. This is our place; (we will not follow you) till our Lord comes to us, and when our Lord comes to us, we will recognize Him.

Hahahahaha yaani Allah aliwatokea kwa Umbo tofauti na la Mwanzo wakamkataa wakimuita we ni Shetani tunatafuta hifadhi kwa Allah nadhani Allah aliwatokea kwa Umbo kutisha zaidi ya hili la mguu mmoja Quran 68:42

Sawa ila yeye anajifananisha mbona ana mikono Miwili yote ya Kulia Sunan an-nasa'i 5379
An Ugoko Quran 68:42
Ana Mguu mmoja = Sahih al Bukhari 4848

Pia kwa kusema yeye anawezaje kupata mtoto bila swahiba na akitaka kuwa na mtoto atapiga pumbu Malaika au wale mabikira aliowaandalia waislam maana anasema from us... and wanatuambia kila siku Allah ni mmoja kumbe ana jamii yake huko alipo ''i will choose from us'' Ahad not mean one maana yake ni one off yaani mmoja miongoni mwa

Naomba ref ya aya kusupport uongo wako huu ewe mtoto wa Allah ukishindwa Nyamaza. Allah hana Roho ni sanamu lini kwanza alikuwa hajalala? hakuwahi ongea na Mudy kumfikia kwake ni miaka elfu moja kurejea duniani inachukua miaka elfu moja tena tena kwa speed ya mwanga alafu eti koran imeshushwa kwa miaka sijui 23 punda nyie wadanganyifu.. Allah alisema aliwalaani Wayahudi kwa kuvunja Sabato yaani uovu wake alisababisha samaki wasionekane week days and Jumamosi sabath anaachia samaki wengi wayahudi wakashindwa vumilia wakavua siku ya sabato eti akawalaani na kuwageuza nguruwe na nyani na hizo laana zake hazijawahi fanya kazi na Sasa Israel ni Taifa kubwa lenye Nguvu na linawachapa waislam watumwa wa alaah litakavyo.. Muamsheni Allah kala sana.. Kwanza Allah is not exist

Yuse alikuja duniani kwa Umbo la Binadamu ndio Maana Mariam aliambiwa utapata Mimba na utamuita mtoto Yesu mean alishapanga mwenyewe iwe hivyo. so aliishi like other ila alionesha uungu wake even Waliomshambulia Mariam kwa kupata mtoto bila Mume Yesu alikuwa kabebwa akinyonya akaacha kunyonya akaongea Surat Maryam 18:19-30

Rah ya kudebate na Mjinga unampiga tu na Kuran yake iliyojaa aya za shetani

Umbo lingine la Allah Abu huraira apewe mingine mitano

81
To make the Heart Tender (Ar-Riqaq)

(52)
Chapter: As-Sirat is a bridge across the Hell.
(52)
باب الصِّرَاطُ جَسْرُ جَهَنَّمَ

Narrated Abu Huraira:
Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said, "Do you crowd and squeeze each other on looking at the sun when it is not hidden by clouds?" They replied, "No, Allah's Messenger (ﷺ)." He said, "Do you crowd and squeeze each other on looking at the moon when it is full and not hidden by clouds?" They replied, No, O Allah's Messenger (ﷺ)!" He said, "So you will see Him (your Lord) on the Day of Resurrection similarly Allah will gather all the people and say, 'Whoever used to worship anything should follow that thing. 'So, he who used to worship the sun, will follow it, and he who used to worship the moon will follow it, and he who used to worship false deities will follow them; and then only this nation (i.e., Muslims) will remain, including their hypocrites. Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you. This is our place; (we will not follow you) till our Lord comes to us, and when our Lord comes to us, we will recognize Him. Then Allah will come to then in a shape they know and will say, "I am your Lord.' They will say, '(No doubt) You are our Lord,' and they will follow Him. Then a bridge will be laid over the (Hell) Fire." Allah's Messenger (ﷺ) added, "I will be the first to cross it. And the invocation of the Apostles on that Day, will be 'Allahumma Sallim, Sallim (O Allah, save us, save us!),' and over that bridge there will be hooks Similar to the thorns of As Sa'dan (a thorny tree). Didn't you see the thorns of As-Sa'dan?" The companions said, "Yes, O Allah's Messenger (ﷺ)." He added, "So
unasumbuka sana qu quote fake hadith hakuna kwenye Qur'an Allah kasema anakuja kwa shape tofauti tofauti sijui Qur'an ipi wewe unayo soma. He is unique and has no one like
 
Kama wewe na ufake wako umeanza kuelewa Mtoto kwa Mungu.. napata shida kuelewa upo Dini gani maana hadi Allah anatoa Aya kusema hana Mtoto ni baada ya kusikia Yesu aliitwa Mwana wa Mungu.. so hongera zako umemzidi Allah kuelewa.. Darasani wewe umekuwa mbele ya Allah na Mtume wake.. even Zakir Naik hadi leo anasema Muslims hawaamini ile kuita Mtoto wa Mungu kwao maana yake ni mtoto wa Damu
We hebu tuonyeshe wapi Allah kasema ana mtoto, mkiambiwa vichaa mnabisha 😄
 
Wacha kuwadangan'ya watu eti Shujaa [emoji1]

Israel ni Yakub bin Ishaq bin Ibrahim, amani iwe juu yao, na maana yake ni mja wa Mungu, kwa sababu “Isr” katika lugha yao maana yake ni mja, na “El” ni Mungu.

Ana majina mawili, :Israel ni jina la utani yani si orignal na lilivuma sana kwa sababu alikuwa Mchamungu na hata Mwenyezi alikuwa analirefer hilo jina.

Wanakuja wakristo na ujinga eti mshindi alimshinda nani? Ukiwasikia wakristo watakupoteza eti alipigana na Mungu [emoji1] Afu akamshinda akamshika mpa asubuhi afu ndio Mungu akampa jina Israel, eti sababu alimshinda [emoji1] bibilia zenu noma kweli.

Yakoub[Israel] kumuona Mungu hajamuona na wala hata kuja muona, si Yeye si Yesu si Mussa si Ibrahim wala Mtume Muhammad hakuna wakumuona Mungu, Mwenyezi Mungu ni level ingine kabisa yeye anakuona lakini hakuna binadamu atakaye muona maishani kwake.

Nyie kaimbeni nyimbo kanisani afu mkalale ngojeni mkisha kufa ndio mtajua Yesu kama atawaokoeni [emoji1]
Hongera wewe ambaye ukifa hiyo sigda yako itakuwa tochi,huu ni upumbavu wa kiwango cha juu!
 
Back
Top Bottom