Qur'an imeisha toa jibu kuthibitisha uwongo wako, wacha kumzulia Mtume wetu Muhammad maneno hajawahi kuongea, sijui mnatowa wapi maneno ya uzushi.
قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ ( 1 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 1
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
اللَّهُ الصَّمَدُ ( 2 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 2
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ( 3 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 3
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ( 4 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 4
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
Kwa hiyo Muslims wakiongea na kuandika vitabu vyao other than Quran ni Uongo? maana hata hiyo Quran ni Hadithi kutoka kwa furani baada ya furan yaani haina mwenyewe Msomi Hafs anasadikiwa alikuwa ni Muongo na ndie mmechukua Quran yake ndio maana Aya aliyoshushiwa Mudy ya kwanza imewekwa sijui ya saba na surah zimechanganywa mno uuombaji wa uongo Allah aya moja inasema alianza kuumba Mbingu na aya nyingine anasema alianza kuumba ardhi n.k kiufupi ni aya za kutungwa na za kukopi aya za dini zingine na kuzibadilisha zionekane tofauti na ndipo vixchekesho vimekuwa ndani ya Quran ya Allah..
Tuje kwenye Aya zako kutoka kwenye kitabu cha kichekesho Quran.
قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ ( 1 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 1
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
Katika Tafrisi ya English - Say, ˹O Prophet,˺ “He is Allah—One ˹and Indivisible˺;
Hapo ni Mmoja na Asiye onekana Kichekesho ni kuwa almost Quran yote anatumia wingi wake SISI (We)
Aya ya 68:42 inasema Allah ana Mguu aonekani kivipi? Allah ni Physical being.
يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍۢ وَيُدْعَوْنَ إِلَى ٱلسُّجُودِ فَلَا يَسْتَطِيعُ
Siku itakapo funuliwa mguu wa Allah na wakaitwa kusujudu, lakini hawawezi. ونَ ٤٢
Even Mikono anayo na Adam alipokuwa anaumbwa alimuambia Allah nimalizie kuniumba kabla ya Jua kuzama... hahahaha Allah alikuwa very Slowly hadi Adam aseme. na aliopuliziwa roho akapiga chaya and akasema Alhamdulillah -- kwa kiarabu hahaha Adam aliongea Arabic
اللَّهُ الصَّمَدُ ( 2 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 2
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
Tafuta Tafsiri sahihi ili utamke kwa Kiswahili ueleweke na ukubalike na sio kudanganya watu.. Tafrisi from English Allah—the Sustainer ˹needed by all
Yaani Mtegemewa wa wote na katika Sahihi wanasema ni Mungu mmoja na haitaji utegemezi wowote ni uongo uliopitiliza kwani Allah tu kusema Sisi tumemuumba Binadamu tayari hapo hakuwa pekee tena anaonesha tu kuwa amedandia kazi ya ya kuumba ambaye aliumba ni NENO ambayue ni Jesus.
Kam Sio tegemezi basi kiti chake cha enzi angekuwa anakibeba mwenyewe na sio Malaika nane huku yeye akiwa juu yake Chapter 40:7
لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ( 3 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 3
Hakuzaa wala hakuzaliwa. Even Adam ,Hakuzaliwa and pia Mama Theresa wa India hakuzaa pia, n.k haya ndio maswali ya kiislam islam na majibu ya kiislam nakupa.. mjione kuwa Muslim mna maswali ya kijinga badilikeni
وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ( 4 ) Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya 4
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. Hii ya Kufanana ni kwa Muslims only but sisi non-Muslim tunaamini tunafanana nae kwani alisema hivyo tumeumbwa kwa Mfano wake.
Mwisho Koran na Muslim ni fabrication so Mambo mengine yanaishia hewani tu