Jina la Israel na maana yake

Jina la Israel na maana yake

Israel ni jina alilopewa yakobo baada ya kumtia ngwala,mabanzi,makwenzi Mungu,aliposhuka usiku wa manane duniani,ndipo Mungu akaamua kumbariki yakobo badala ya Esau chaguo lake la mwanzo,maana bila hivyo yakobo aliigoma kumuachia Mungu na palikua panapambazuka,Mungu akiogopa binaadam wasimuone,haya ni kwa mujibu wa biblia
Eti baada ya kumtia mangwala Mungu daa halafu wewe Mwanzo 32,:24-30
 
Wacha kuwadangan'ya watu eti Shujaa [emoji1]

Israel ni Yakub bin Ishaq bin Ibrahim, amani iwe juu yao, na maana yake ni mja wa Mungu, kwa sababu “Isr” katika lugha yao maana yake ni mja, na “El” ni Mungu.


Ana majina mawili, :Israel ni jina la utani yani si orignal na lilivuma sana kwa sababu alikuwa Mchamungu na hata Mwenyezi alikuwa analirefer hilo jina.

Wanakuja wakristo na ujinga eti mshindi alimshinda nani? Ukiwasikia wakristo watakupoteza eti alipigana na Mungu [emoji1] Afu akamshinda akamshika mpa asubuhi afu ndio Mungu akampa jina Israel, eti sababu alimshinda [emoji1] bibilia zenu noma kweli.

Yakoub[Israel] kumuona Mungu hajamuona na wala hata kuja muona, si Yeye si Yesu si Mussa si Ibrahim wala Mtume Muhammad hakuna wakumuona Mungu, Mwenyezi Mungu ni level ingine kabisa yeye anakuona lakini hakuna binadamu atakaye muona maishani kwake.

Nyie kaimbeni nyimbo kanisani afu mkalale ngojeni mkisha kufa ndio mtajua Yesu kama atawaokoeni [emoji1]
Ulivyo andika sasa eti wakristo na ujinga, wewe ulivyoandoka hivi, huyo mjinga anafannaje tuanze nawewe
 
Back
Top Bottom