Jina la Edward Lowassa lawa Gumzo Bungeni

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Habari Kutokea Ndani ya Bunge mjini dodoma zinatanabaisha kuwa Jina Kubwa na lenye mvuto Tanzania la Edward Lowassa Limetikisa Bungeni kwenye Mswada wa habari..limetajwa zaidi ya Mara 500.

IMG-20161106-WA0000.jpg

Dodoma. Ama kweli, Edward Lowassa angali vinywani mwa wabunge hata kama hayupo tena mjengoni.

Jina lake limeibua mjadala bungeni wakati wabunge walipotoleana maneno makali kuhusu waziri huyo mkuu wa zamani.

Sakata hilo limetokea wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano lilipokuwa likijadili Muswada wa Huduma ya Habari ambao ulipitishwa jana licha ya kupingwa vikali na kambi ya upinzani na wadau wa habari.

Lowassa amelizua tafrani bungeni baada ya wabunge wawili kurushiana maneno kuhusu taarifa zake tofauti zilizokuwa zikiandikwa na vyombo vya habari kiasi cha kusababisha mwenyekiti wa Bunge aingilie kati.

Akichangia muswada huo, mbunge wa viti maalumu (CCM), Amina Mollel amerejea sakata la zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura iliyopewa kampuni ya Richmond Development ya Marekani ambayo ilibainika baadaye kuwa haikuwa na uwezo. Sakata hilo lilitokea wakati Lowassa akiwa Waziri Mkuu.

“Mimi naomba ninukuu baadhi ya vichwa vya habari ambavyo vilitumiwa katika magazeti,” amesema Mollel, ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari.

Mollel ametaja mfano wa gazeti lililoandika “Lowassa anajua uzalendo au ni machozi ya mamba” na kichwa kingine cha habari cha gazeti hilo kilichosema “Lowassa Hasafishiki” na kingine kilichosema “Lowassa karibu Chadema”.

“Kuna haja ya kuwa na waandishi ambao leo hii wanaandika habari kwamba mtu huyo ni mbaya lakini kesho hiyo hiyo uongo huo unabadilika na kuwa ukweli?”amehoji Mollel.

Amesema Taifa linahitaji kuwa na sheria kama hiyo ambayo inaweza kulinda taaluma ya waandishi wa habari, hivyo kupitishwa muswada huo ni kwa manufaa ya wanahabari.

Maneno hayo kuhusu Lowassa yakamfanya mbunge wa Konde (CUF), Khatib Said Haji kusimama na kutumia methali inayosema “ukienda kwa wenye chongo, ufumbe macho ili ufanane nao japokuwa unaona”.

“Leo kituko cha karne hii ni pale anaponyanyuka mbunge wa CCM ndani ya Bunge akatulaumu eti sisi (wabunge wa kambi ya upinzani) kwa sababu tunampenda Lowassa. Hiki ni kituko cha karne,” amesema.

“Rudini kwenye kumbukumbu ya Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kale kawimbo katamu. Kweli?” amesema na kufanya wabunge wengine wa upinzani kuanza na kuimba “tuna imani na Lowassa”.

Jina la Lowassa limekuwa likiibuka kwenye vikao mbalimbali na katikati ya mwaka lilikuwa gumzo kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM ulioitishwa kwa ajili ya uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa chama hicho,

John Magufuli, ambaye alikuwa mgombea pekee kutokana na utamaduni wa CCM kumuachia uenyekiti rais anayeingia madarakani, alipata kura zote 2,698.
View attachment 429874
 
That's your opinion. If he's finished why do your people keep on mentioning him? It appears you do fear him. Why do you fear him? What has he done to make him be so feared?
 
Habari zenye mshiko ni uchapaji kazi wa Rais Magufuli na kauli zake, hadi:
1) anabandikwa majina kadha
2) kuwakosesha wapinzani usingizi
3) wapinzani kubadili gia kila kukicha
4) waliozoea vya kunyonga kumshutumu ati uchumi unadolola
5) wapiga dili kukosa pa kukimbilia

Kwa ujumla utawala wa Magufuli umezua "HIZO MBICHI".
 
Wataendelea kumkumbuka mpk hapo watakapompisha
 
Lowasa jizi sana hili zee jamani sijawahi kuona mtu mwizi kama Lowasa.
 
Dodoma. Ama kweli, Edward Lowassa angali vinywani mwa wabunge hata kama hayupo tena mjengoni.

Jina lake limeibua mjadala bungeni wakati wabunge walipotoleana maneno makali kuhusu waziri huyo mkuu wa zamani.

Sakata hilo limetokea wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano lilipokuwa likijadili Muswada wa Huduma ya Habari ambao ulipitishwa jana licha ya kupingwa vikali na kambi ya upinzani na wadau wa habari.

Lowassa amelizua tafrani bungeni baada ya wabunge wawili kurushiana maneno kuhusu taarifa zake tofauti zilizokuwa zikiandikwa na vyombo vya habari kiasi cha kusababisha mwenyekiti wa Bunge aingilie kati.

Akichangia muswada huo, mbunge wa viti maalumu (CCM), Amina Mollel amerejea sakata la zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura iliyopewa kampuni ya Richmond Development ya Marekani ambayo ilibainika baadaye kuwa haikuwa na uwezo. Sakata hilo lilitokea wakati Lowassa akiwa Waziri Mkuu.

“Mimi naomba ninukuu baadhi ya vichwa vya habari ambavyo vilitumiwa katika magazeti,” amesema Mollel, ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari.

Mollel ametaja mfano wa gazeti lililoandika “Lowassa anajua uzalendo au ni machozi ya mamba” na kichwa kingine cha habari cha gazeti hilo kilichosema “Lowassa Hasafishiki” na kingine kilichosema “Lowassa karibu Chadema”.

“Kuna haja ya kuwa na waandishi ambao leo hii wanaandika habari kwamba mtu huyo ni mbaya lakini kesho hiyo hiyo uongo huo unabadilika na kuwa ukweli?”amehoji Mollel.

Amesema Taifa linahitaji kuwa na sheria kama hiyo ambayo inaweza kulinda taaluma ya waandishi wa habari, hivyo kupitishwa muswada huo ni kwa manufaa ya wanahabari.

Maneno hayo kuhusu Lowassa yakamfanya mbunge wa Konde (CUF), Khatib Said Haji kusimama na kutumia methali inayosema “ukienda kwa wenye chongo, ufumbe macho ili ufanane nao japokuwa unaona”.

“Leo kituko cha karne hii ni pale anaponyanyuka mbunge wa CCM ndani ya Bunge akatulaumu eti sisi (wabunge wa kambi ya upinzani) kwa sababu tunampenda Lowassa. Hiki ni kituko cha karne,” amesema.

“Rudini kwenye kumbukumbu ya Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kale kawimbo katamu. Kweli?” amesema na kufanya wabunge wengine wa upinzani kuanza na kuimba “tuna imani na Lowassa”.

Jina la Lowassa limekuwa likiibuka kwenye vikao mbalimbali na katikati ya mwaka lilikuwa gumzo kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM ulioitishwa kwa ajili ya uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa chama hicho,

John Magufuli, ambaye alikuwa mgombea pekee kutokana na utamaduni wa CCM kumuachia uenyekiti rais anayeingia madarakani, alipata kura zote 2,698.
edo.jpg
 
If u can't beat him join him,CDM walijaribu kuuangusha huu mwamba kwa miaka nane mwishowe wakasalimu amri na kuutumia mwaliko.
 
Hata ukiangalia sura yake tu katika picha yake hapo juu, huyu mzee ni mzuri na ana haiba ya nguvu (strong personality) ya uongozi mkuu wa nchi a.k.a Urais!!

Lakini daaah, ndiyo hivyo tena tulilambishwa galasa ama tutusa na ndiyo hivyo tena taratibu tunatimuliwa vumbi na kuachwa wote zaidi sana maCCM yakitimuliwa vumbi na yakiachwa kushangaa shangaa tu huku yakiisoma pleti namba ya gari kwa taabu, kwa nyuma wenzao wakichanja mbuga kutuibia!!

Na kwa kulitambua hilo juzi kati hapa wanaCCM wenye nafasi zao wakagawiwa milioni kumi kumi ingalau kupunguza makali na kufutia vumbi kwa sharti la kuhakikisha mswaada wa habari kandamizi unapita ndani ya bunge!!
 
Back
Top Bottom