Jina la Edward Lowassa lawa Gumzo Bungeni

Jina la Edward Lowassa lawa Gumzo Bungeni

Ila UKAWA mda mwingine mnajiabisha kweli yani! Sasa hapo ndio katajwa mara mia tano ? Mbunge alikuwa anakumbushia unafiki wa chadema na nyumbu wengine wadogo kama hawa!
1478433751988.jpg
1478433766255.jpg
1478433772294.jpg
 
Lowasa jizi sana hili zee jamani sijawahi kuona mtu mwizi kama Lowasa.
Lowasa jizi sana hili zee jamani sijawahi kuona mtu mwizi kama Lowasa.
ni kweli ni mwizi kwa sababu ya kale ka wimbo katamu pale dodoma. wewe hujui ndo kalitupa nguvu ya kumpokea kwa mikono mia??

uzi huu wewe na lizaboni co ltd hamkustahili kuchangia maana mulishiriki pambio kale ka wimbo niliwaona. akuuu!!!! nani asiokote dhahabu? mlivyoipamba siku ile dodoma na kweli ikapambika?
 
[HASHTAG]#mboweletaushahidiwamlungula[/HASHTAG]
Mbona PM hakukanusha kuhonga milioni kumi kumi kwa wabunge? Naibu spika si alikataa PM asijibu madai ya mbowe, wewe unategemea ushahidi wa Mbowe utapelekwa wapi? PM akanushe kwanza ndipo uombe ushahidi kutoka kwa Mbowe.
 
[HASHTAG]#Mbowetunatakaushahidi[/HASHTAG].
 
Raisi wa sasa hana tofauti na kibogoyo anayeng'ang'ania biskuti ya chuma
 
Back
Top Bottom